-
Mahakama ya ICJ: Israel inapasa kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Oct 23, 2025 07:40Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeitaka Israel ijiepushe kutumia sheria zake za upande mmoja maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na kuukosoa utawala huo ghasibu kwa kuzuia kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililoharibiwa na vita la Gaza.
-
Maduro atishia kuvurumusha maelfu ya makombora ya Igla-S kukabiliana na vitisho vya Marekani
Oct 23, 2025 02:50Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametangaza kuwa nchi yake inamiliki makombora 5,000 ya kutungulia ndege yaliyotengenezwa Russia ili kukabiliana na vitisho vya jeshi la Marekani na vikosi vyake vilivyotumwa katika visiwa vya Caribbean.
-
Shakhsia mashuhuri wa Kiyahudi duniani waihimiza UN, viongozi wa dunia kuiwekea vikwazo Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
Oct 23, 2025 02:50Zaidi ya shakhsia 450 wa Kiyahudi kutoka duniani kote wametoa wito kwa Umoja wa Mataifa na viongozi wa kimataifa kuuwekea vikwazo utawala wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari "yasiyokubalika" katika Ukanda wa Gaza.
-
Korea Kaskazini yarusha makombora ya balestiki wiki moja kabla ya mkutano nchini Korea Kusini
Oct 22, 2025 23:05Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi kuelekea Bahari ya Japan kwenye pwani ya mashariki ya nchi hiyo.
-
Unafiki wa Ulaya mkabala wa Gaza: Biashara na Israel au kuheshimu haki za binadamu?
Oct 22, 2025 22:59Umoja wa Ulaya utarejesha uhusiano wake wa kibiashara wa upendeleo na Israel hatua kwa hatua kwa kisingizio cha kutekelezwa usitishaji unaolegalega wa mapigano huko Gaza.
-
Japan yapinga mashinikizo ya Marekani ya kuacha kununua nishati kutoka Russia
Oct 22, 2025 09:18Yoji Muto, Waziri wa Biashara wa Japan amepinga vikali mashinikizo makubwa ya Marekani dhidi ya nchi hiyo. Marekani inaitaka Japan iache kununua nishati kutoka Russia. Tokyo, kwa upande wake, inasema kuwa itachukua maamuzi kwa mujibu wa maslahi yake ya kitaifa.
-
Guardian: Chuki dhidi ya Trump imekuwa nembo ya mshikamano mpya Marekani
Oct 22, 2025 02:43Chuki dhidi ya rais wa hivi sasa wa Marekani imekuwa jambo la kawaida kwa waandamanaji wanaomiminika mitaani kumpinga Trump katika majimbo mbalimbali na hivi sasa imegeuka kuwa nembo ya mshikamano mpya huko Marekani.
-
Chuo Kikuu cha Arizona; Taasisi ya saba Marekani kukataa matakwa ya sera mpya ya Trump
Oct 21, 2025 23:03Vyuo Vikuu saba vya juu nchini Marekani vimepinga mpango tata wa "kielimu" wa Ikulu ya White House, ambao unashutumiwa kuwa ni mkakati wa kisiasa unaolenga kuwanyamazisha wapinzani na kuwaadhibu wanaoiunga mkono Palestina katika Vyuo Vikuu.
-
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, aanza kifungo cha miaka mitano jela
Oct 21, 2025 11:25Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, ameanza kutumikia kifungu cha miaka mitano jela katika gereza moja mjini Paris baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ufisadi.
-
Trump: Ukraine haiwezi kushinda vita dhidi ya Russia
Oct 21, 2025 07:56Rais wa Marekani, Donald Trump amesema haitakidi kwamba Ukraine inaweza kuibuka mshinda katika vita vyake na Russia.