-
Qur'ani inasema nini kuhusu watu wenye kiburi kama Donald Trump
Oct 21, 2025 06:51Uchambuzi wa Qur'ani kuhusu tabia ya Donald Trump, rais mtata wa Marekani, unamuonyesha kuwa ni mfano wa wazi wa mtu muovu na mwenye kutakabari.
-
Kusimama shughuli za serikali ya Marekani kutakwenda hadi lini?
Oct 20, 2025 22:52Serikali ya Donald Trump huko Marekani imevunja rekodi kwa kusimamisha shughuli zake kwa muda wa siku 20. Janga hilo lilianza Oktoba 1, 2025, na kulemaza shughuli muhimu za Marekani na pia kupiga kengele ya hatari ya kuzuka mdororo wa kiuchumi na mgogoro wa kijamii nchini Marekani. Hadi hivi sasa hakuna ishara za kufikia mwisho mgogoro huo wa kisiasa huku mamilioni ya Wamarekani wakiwa chini ya mashinikizo kutokana na maafa ya mgogoro huo kwenye maisha yao.
-
Italia yaokoa wahajiri 91, yaopoa maiti 2 kwenye pwani ya Lampedusa katika Bahari ya Mediterania
Oct 20, 2025 06:47Walinzi wa Pwani ya Italia wamewaokoa wahajiri 91 na kuopoa miili ya watu wengine wawili kutoka kwenye mashua iliyokuwa hatarini kupeperushwa kwenye pwani ya Kisiwa cha Lampedusa katika Bahari ya Mediterania.
-
Trump azitaka Russia na Ukraine zisimamishe vita mahali zilipo sasa hivi kwenye medani ya mapigano
Oct 20, 2025 06:10Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Russia na Ukraine kusimamisha vita katika mstari wa mapigano zilipo hivi sasa, pendekezo ambalo litaiwezesha Moscow kuhodhi sehemu kubwa ya maeneo ya ardhi ya Ukraine.
-
'Jukwaa la kufyatulia risasi' lanaswa katika eneo linalotazamana na ndege ya Trump
Oct 20, 2025 03:10Idara ya Huduma ya Siri ya Marekani imethibitisha kuwa imegundua jukwaa linalotiliwa shaka la kufyatulia risasi karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Palm Beach likiwa na uwezo wa kuona moja kwa moja mahali ambapo kwa kawaida Rais Donald Trump hutokea kwenye Air Force One.
-
Trump anamtishia Rais wa Colombia, Petro ajibu mapigo: Soma kwa makini kuhusu nchi yetu
Oct 20, 2025 03:08Rais wa Marekani, Donald Trump amemshutumu Rais wa Colombia Gustavo Petro kwa kuhusika katika kuongezeka biashara ya dawa za kulevya, na kutishia kuingilia moja kwa moja Marekani nchini Colombia.
-
Newsom akosoa vikali maonyesho ya kijeshi ya Trump, asema: Kiburi kimefadhilishwa kuliko uwajibikaji
Oct 19, 2025 23:10Gavana wa chama cha Democratic huko California amekosoa maonyesho ya kijeshi ya Trump ambayo yalisababisha kufungwa barabara kuu, akiyataja kuwa ni ishara ya Rais kutanguliza mbele "kiburi kuliko uwajibikaji."
-
Maaandamano dhidi ya Trump nchini Marekani yanafanyika kwa malengo gani
Oct 19, 2025 23:07Mamilioni ya Wamarekani waliingia mitaani katika maandamano ya nchi nzima wakiimba "No Kings" kupinga muhula wa pili wa rais Donald Trump na kile wanachokiita "mienendo yake ya kimabavu."
-
Deni la umma lailemea serikali ya Marekani, wachumi washikwa na wasiwasi
Oct 19, 2025 23:05Deni la umma la Marekani limefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo, ambapo sasa deni hilo linatajwa kufika trilioni 37.9.
-
Trump abadilisha msimamo wa kutuma makombora ya Tomahawk kwenda Ukraine
Oct 19, 2025 04:39Rais Donald Trump wa Marekani amebadilisha ghafla msimamo wake wa kutuma makombora ya cruise ya Tomahawk kwenda Ukraine.