-
Kubadilishwa jina la Wizara ya Ulinzi ya Marekani kuwa Wizara ya Vita; kwa nini na kwa lengo gani?
Sep 06, 2025 22:50Rais wa Marekani Donald Trump amesaini dikrii ya utekelezaji na hivyo kubadili jina la Wizara ya Ulinzi ya Marekani kuwa "Wizara ya Vita."
-
Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia
Sep 06, 2025 08:32Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi
-
Maduro aonya: Tutaingia kwenye ‘mapambano ya silaha’ ikiwa tutashambuliwa na US
Sep 06, 2025 08:08Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ameonya kwamba nchi yake itagura kutoka kwenye siasa na kuingia kwenye "mapambano ya kutumia silaha" iwapo Marekani itaanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya taifa hilo.
-
Uhispania yataka Israel ifukuzwe kwenye mashindano ya baiskeli
Sep 06, 2025 07:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ameunga mkono wito wa kuondolewa timu ya waendesha baiskeli ya Israel kwenye mashindano ya mchezo huo yanayoendelea, kufuatia maandamano na malalamiko ya waungaji mkono wa Palestina nchini humo.
-
Mediapart: 2024 Israel iliweka 'rekodi ya mwaka' ya ununuzi wa silaha kutoka Ufaransa
Sep 06, 2025 02:48Uuzaji wa silaha wa Ufaransa kwa utawala wa kizayuni wa Israel katika mwaka uliopita wa 2024 ulifikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka minane iliyopita sambamba na kuwepo ongezeko kubwa la mauzo ya silaha za Ufaransa duniani kote. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la ripoti za uchunguzi nchini humo la Mediapart.
-
Trump abadilisha jina la wizara ya ulinzi ya Marekani, sasa itaitwa 'Wizara ya Vita'
Sep 06, 2025 02:48Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya utekelezaji ya kubadilisha jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo na kuwa 'Wizara ya Vita', jina ambalo litatumika katika taarifa zote za utendaji za serikali.
-
Putin: Wanajeshi wa NATO nchini Ukraine watakuwa 'shabaha halali' ya Russia
Sep 05, 2025 07:33Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga mapendekezo ya 'dhamana ya usalama ya nchi za Magharibi kwa Ukraine' akionya kwamba, wanajeshi wowote wa kigeni watakaotumwa katika nchi hiyo jirani watakuwa "shabaha halali" ya jeshi la Russia.
-
Bunge la Scotland lapiga kura ya kuisusia, kuiwekea vikwazo Israel kwa mauaji ya kimbari Gaza
Sep 05, 2025 07:06Bunge la Scotland limepiga kura ya kutaka kusisiwa mara moja Israel na kampuni za utawala huo wa Kizayuni zinazotuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Wataalamu wa UN: Israel inazuia vyombo vya habari vya kimataifa na kuwaua waandishi wa habari huko Gaza
Sep 05, 2025 03:36Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametaka kufanyike uchunguzi huru kuhusu mauaji ya waandishi wa habari katika Ukanda wa Gaza, wakisema Israel inazuia vyombo vya habari vya kimataifa kuripoti matukio ya eneo hilo la Palestina na kuwashambulia waandishi wa habari wa ndani wanaoripoti mauaji ya kimbari na njaa katika ukanda huo.
-
Marekani yaweka vikwazo kwa makundi ya Wapalestina yanayotaka kufanyika uchunguzi wa uhalifu wa kivita dhidi ya Israel
Sep 05, 2025 03:35Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya mashirika matatu ya kutetea haki za binadamu ya Wapalestina yaliyoiomba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuichunguza Israel kwa mauaji ya kimbari huko Gaza.