-
Je, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limenasa katika mtego wa kura ya turufu?
Sep 30, 2025 23:02Haki ya kura ya turufu ni mojawapo ya masuala yenye utata kuhusu mamlaka ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Russia yaonya kuhusu kuongezeka hatari iwapo Marekani itatuma Ukraine makombora ya Tomahawk
Sep 30, 2025 08:31Russsia imesema kuwa jeshi lake linachunguza iwapo Marekani itaikabidhi Ukraine makombora ya meli ya Tomahawk au la kwa ajili ya kutekeleza mashambulizi dhidi yake; hatua ambayo maafisa wa Russia wanasema inaweza kusababisha mzozo mkubwa.
-
Corbyn: Achilia mbali Ghaza, Tony Blair hafai kuwepo popote katika Mashariki ya Kati
Sep 30, 2025 03:34Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba nchini Uingereza Jeremy Corbyn amesema, waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Tony Blair sio tu hafai kupewa mamlaka ya uliwali wa kuendesha eneo la Ukanda wa Ghaza, lakini hastahili pia kuwepo popote katika Mashariki ya Kati.
-
Trump awaita 'wapumbavu' washirika wa Marekani wa Ulaya walioitambua nchi ya Palestina
Sep 30, 2025 03:34Rais wa Marekani Donald Trump amewashambulia vikali kwa kuwaita wapumbavu washirika wakuu wa Ulaya wa nchi hiyo ikiwemo Uingereza na Ufaransa kwa kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
-
Ripoti: Jeshi la China lafanyia majaribio mifumo ya nyuklia ya mashambulizi mtawalia
Sep 29, 2025 22:59Watafiti wa kijeshi wa China wamefanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia mtawalia ili kuunda nguvu kubwa zaidi ya uharibifu.
-
Waziri wa zamani wa Kilimo wa China ahukumiwa kifo kwa ufisadi wa kupokea rushwa
Sep 29, 2025 07:13Mahakama nchini China imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa kilimo wa nchi hiyo baada ya kumpata na hatia ya ufisadi wa kupokea rushwa.
-
China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang'ang'ania kurejea Afghanistan?
Sep 29, 2025 04:02China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.
-
Hasira za walimwengu zairipukia Israel mauaji yake ya kimbari Ghaza
Sep 28, 2025 22:50Katika siku za hivi karibuni wimbi la maandamano makubwa ya kote duniani limeongezeka sana huku makumi ya maelfu ya watu wakimiminika mitaani katika miji mbalimbali ikiwemo Liverpool, Cape Town na miji ya Ujerumani kupiga kelele za kulaani mauaji ya kimbari ya Ghaza yanayofanywa na Israel.
-
Mpango wa Trump wa eti kumaliza vita vya Ghaza, kuwasilishwa kwa Misri
Sep 28, 2025 22:49Balozi wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni anatarajiwa kuelekea Cairo mji mkuu wa Misri hivi karibuni ili kuwasilisha mpango wa rais wa Marekani wa eti kukomesha vita vya Ghaza.
-
Ufuska Ujerumani: Maambukizi ya magonjwa ya zinaa yaongezeka kwa 460%
Sep 28, 2025 08:51Mambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) yanaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kuogofya nchini Ujerumani.