-
Russia yasema wanajeshi 1,500 wa Ukraine wameuawa kwa siku moja katika maeneo ya vita
Sep 13, 2025 23:12Msemaji mmoja wa kijeshi Russia amesema kuwa wanajeshi wa Ukraine wapatao 1,465 wameuawa katika kipindi cha saa 24 zilizopita kufikia Jumamosi, katika maeneo yote ya operesheni maalum ya kijeshi.
-
Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?
Sep 13, 2025 23:11Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.
-
Askari 12 wa Pakistan wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini magharibi mwa nchi
Sep 13, 2025 07:23Askari wasiopungua 12 wa Pakistan wameuawa katika makabiliano ya kufyatuliana risasi na magaidi kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.
-
Baada ya machafuko ya umwagaji damu, Nepal yateua Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke; UN yakaribisha
Sep 13, 2025 07:22Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayohudumu nchini Nepal yamekaribisha kuteuliwa Sushila Karki kuwa Waziri Mkuu wa mpito, wakati nchi hiyo ikikumbwa na mshtuko kufuatia ukandamizaji wa umwagaji damu dhidi ya maandamano yaliyoongozwa na vijana, ambayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 50, uharibifu mkubwa wa mali na kujiuzulu kwa mtangulizi wake.
-
UNGA laidhinisha kwa wingi mkubwa sana wa kura "Azimio la New York" la kuundwa Dola la Palestina
Sep 12, 2025 23:41Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha kwa wingi mkubwa sana wa kura "Azimio la New York" linalotoa mwongozo wa kuchukuliwa "hatua zinazoonekana, katika muda maalumu na zisizoweza kutenduliwa" kuelekea kwenye uundwaji wa Dola la Palestina.
-
Mbunge wa Uskochi ataka Israel izuiwe kushiriki michezo barani Ulaya kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
Sep 12, 2025 22:58Mbunge mmoja kutoka Uskochi amewasilisha hoja rasmi akitaka mashirika ya michezo barani Ulaya kuiondoa Israel katika mashindano ya kimataifa kutokana na mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Nasikitika hatuna bomu la nyuklia tukaizuia Israel isishambulie Ghaza!
Sep 12, 2025 06:58Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameendelea kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huku akieleza kwa masikitiko kwamba Uhispania haina bomu la nyuklia, manowari ya kubebea ndege za kivita, wala utajiri mkubwa wa mafuta, vitu vitakavyoiwezesha kusimamisha peke yake mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ghaza; lakini hiyo haimaanishi kwamba Madrid itasitisha juhudi zake.
-
Seneta Cruz ataka US ama iitambue Ikhwanul Muslimin kuwa kundi la kigaidi au iwaue wanachama wake
Sep 12, 2025 06:57Ted Cruz, Seneta wa Marekani wa jimbo la Texas kwa tiketi ya chama tawala cha Republican amesema, wakati umewadia kwa Marekani kuitambua harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni shirika la kigaidi, kwa sababu hiyo ndiyo hatua mbadala ya kuwaua wanachama na washirika wa harakati hiyo.
-
Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi
Sep 12, 2025 06:57Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela baada ya jopo la Mahakama Kuu kumpata na hatia ya kufanya jaribio la kuipindua serikali.
-
Bunge la Ulaya lataka kutambuliwa rasmi Palestina Huru
Sep 12, 2025 03:07Bunge la Ulaya limepasisha azimio likielezea wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Ukanda wa Gaza, na kuzitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuliweka suala la kutambuliwa taifa huru la Palestina kwenye ajenda.