-
Bunge la Ulaya lataka kutambuliwa rasmi Palestina Huru
Sep 12, 2025 03:07Bunge la Ulaya limepasisha azimio likielezea wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Ukanda wa Gaza, na kuzitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuliweka suala la kutambuliwa taifa huru la Palestina kwenye ajenda.
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lailaani Israel kwa kuishambulia Qatar
Sep 12, 2025 03:06Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani shambulio la Israel dhidi ya mji mkuu wa Qatar, Doha siku ya Jumanne na kutaka kupunguzwa kwa mvutano na taharuki katika eneo.
-
Kansela wa Ujerumani akosoa mashambulizi ya Israel dhidi ya Qatar
Sep 11, 2025 23:49Friedrich Merz Kansela wa Ujerumani, amekosoa vikali mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Doha, Qatar na kutangaza kuwa, Berlin inasubiri matokeo ya mazungumzo na washirika wa Ulaya kuhusu kususia utawala wa Israel.
-
Vifo vya malaria kuongezeka kutokana na kupungua misaada
Sep 11, 2025 23:47Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa malaria huenda vikaongezeka mwaka huu kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya kigeni.
-
Maandamano nchini Uingereza yataka kukamatwa Rais wa Israel
Sep 11, 2025 23:47Maandamano makubwa yamefanyika nchini Uingereza ambapo waandamanaji wametoa wito wa kukamatwa Rais wa Israel kwa kutenda jinai huko Palestina.
-
Mwandishi wa Uingereza: Vyombo vya habari vya Magharibi vinapotosha ukweli wa mambo kuhusu njaa huko Gaza
Sep 11, 2025 09:15Mwandishi mmoja wa Kiingereza amekiri kwamba vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vinaathiriwa na ushawishi wa utawala katili wa Israei katika kuripoti jinai za utawala huo dhidi ya watu wa Palestina.
-
Polisi yawatia mbaroni watu 295 huku vuguvugu la 'Zuia kila kitu' likiitikisa Ufaransa
Sep 11, 2025 03:49Waandamanaji nchini Ufaransa jana Jumatano walifunga barabara, kuwasha moto na kukabiliana na polisi katika siku ya kwanza ya vuguvugu la harakati ya nchi nzima ya 'Zuia Kila Kitu'.
-
Mfuasi sugu wa Trump na mkana mauaji ya kimbari Gaza apigwa risasi na kuuawa Marekani
Sep 10, 2025 23:45Mfuasi sugu wa kihafidhina wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye pia ni mtetezi wa utawala wa Kizayuni wa Israel, hasa mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo Gaza, amepigwa risasi na kuuawa katika tukio la chuo huko Utah.
-
Waislamu washerehekea Mazazi ya Mtume (SAW) na Imam Swadiq (AS)
Sep 10, 2025 03:11Wananchi Waislamu wa Iran na baadhi ya nchi za Kiislamu leo Jumatano, inayosadifiana na tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal, wanaadhimisha Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe, Mtume Muhammad (SAW) pamoja na mjukuu wake, Imam Ja'afar bin Muhammad al-Swadiq (AS).
-
Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel
Sep 10, 2025 03:10Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Uhispania imemuita tena balozi wake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ikilalamikia sera za mauaji za Israel katika Ukanda wa Gaza.