-
Kusitisha serikali ya Mali utoaji visa kwa raia wa Ufaransa
Aug 14, 2023 22:56Mvutano kati ya nchi za ukanda wa Sahel ya Afrika na Ufaransa unazidi kuongezeka.
-
Kimya cha kufikirisha cha Waziri Mkuu wa India mbele ya mauaji ya Wahindu dhidi ya Waislamu
Aug 14, 2023 09:04Zaidi ya Waislamu 3000 wamekimbia makazi yao katika mji wa Gurugram katika jimbo la Haryana, wakihofia kushambuliwa na Wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada. Maduka ya Waislamu katika mji huu pia yamefungwa.
-
Sababu za kuongezeka jinai za genge la kigaidi la Daesh nchini Syria
Aug 14, 2023 00:30Genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa mara nyingine tena limeongeza operesheni zake za kigaidi nchini Syria.
-
Kukataa Misri ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine
Aug 13, 2023 07:01Misri imekataa ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine ikiwa ni katika sehemu ya mkakati wa Cairo ya kutopendelea upande wowote kwenye vita vya Ukraine na Russia.
-
Kuibuka hitilafu mpya ndani ya baraza la mawaziri la Netanyahu kuhusu suala la usalama
Aug 12, 2023 23:00Hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu kuhusu suala la usalama zimeongezeka ambapo mawaziri wa baraza hilo wanahitilafiana waziwazi kuhusu jambo hilo.
-
Mapatano madhubuti ya Iran kuhusu kuachiliwa mali zake na kubadilishana wafungwa na Marekani
Aug 12, 2023 04:46Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu kuachiwa mali za Iran na pia kufunguliwa wafungwa wake kadhaa waliokuwa wamezuiliwa na Marekani kinyume cha sheria.
-
Sisitizo jingine la China la kutatuliwa mgogoro wa Ukraine kwa njia ya mazungumzo
Aug 11, 2023 22:46Viongozi wa serikali ya China wangali wanasisitiza juu ya suluhisho la kisiasa na kidiplomasia kwa mzozo wa Ukraine.
-
Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano
Aug 11, 2023 07:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii aliekea Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika Kusini na kukutana na viongozi mbalimbali wa taifa hilo.
-
Uamuzi wa Russia na Qatar wa kutumia sarafu zao za taifa katika miamala ya kibiashara
Aug 10, 2023 22:47Katika muendelezo wa sera ya kufuta sarafu ya dola katika miamala ya kibiashara kati ya nchi mbalimbali, Qatar pia imeondoa matumizi ya dola katika mabadilishano yake ya kibiashara na Russia, ambapo biashara baina ya nchi hizo mbili, sasa itafanyika kwa kutumia sarafu za taifa.
-
Uwezo wa nguvu na amani ya Iran ilivyopatikana kwa ujasiri na ushujaa wa Walinzi wa Haram
Aug 10, 2023 06:03Rais Ebrahim Raisi ameashiria kuainishwa katika kalenda rasmi ya Iran tarehe 18 Mordad, inayosadifiana na Agosti 9, kuwa Siku ya Mashahidi Walinzi wa Haram na akaienzi kumbukumbu ya Mashahidi hao kwa kusema: Mashahidi Walinzi wa Haram ni walinzi wa heshima na utakatifu wa Uislamu, ambao walitetea thamani za dini kwa roho zao na kufa shahidi katika njia hiyo.