-
Khatibzadeh: Ili kuhuisha JCPOA, ni dharura Marekani kuondoa kivitendo vikwazo dhidi ya Iran
Feb 19, 2021 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema njia pekee ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya Iran.
-
Umoja wa Ulaya wapiga hatua katika kulinda biashara na Iran
Jun 01, 2018 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian amesema Umoja wa Ulaya umepiga hatua katika kuyalinda mashirika ya kibiasahra ya umoja huo ili yasilengwe kwa vikwazo vya Marekani kutokana na kufanya biashara na Iran. Hata hivyo amesema hatua zilizochukuliwa bado hazitoshi.
-
Zarif: Russia yasema itaheshimu mapatano ya nyuklia hata baada ya Marekani kujiondoa
May 14, 2018 09:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Russia imethibitisha kuwa itaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo ni maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, hata baada ya Marekani kujiondoa.
-
Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA
Oct 14, 2017 00:48Russia imeonya kuwa Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyotiwa saini mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Velayati: Kundi la 5+1 liilazimishe Marekani itekeleze majukumu yake kuhusu JCPOA
Oct 12, 2017 10:40Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) si makubaliano ya pande mbili ambayo Wamarekani wanaweza kuyafuta wao wenyewe.
-
Iran: Madola makubwa yasivuruge mapatano ya nyuklia
Nov 18, 2016 00:53Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema madola sita makubwa duniani ya kundi la 5+1 hayapaswi kuchukua hatua za kuvuruga utekelezaji mapatano ya nyuklia baina yao na Tehran.
-
Kikao cha kwanza cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1
Sep 22, 2016 23:14Kikao cha kwanza cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1 katika ngazi ya mawaziri baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia (JCPOA) kilifanyika jana Alhamisi huko New York, Marekani kufuatia ombi la Iran.