-
Jeshi la Afghanistan lasema limeua wanachama 104 wa Taliban
Apr 06, 2021 22:55Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 100 wa kundi la Taliban ndani ya saa 24.
-
Taliban yakataa mpango wa uchaguzi wa mapema uliopendekezwa na Rais wa Afghanistan
Mar 24, 2021 08:27Kundi la Taliban limeukataa mpango uliopendekezwa na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan wa kuitisha uchaguzi wa mapema.
-
Hujuma ya kigaidi yaua watu 8 katika hujuma Herat, Afghanistan
Mar 14, 2021 07:51Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine 47 kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi mkoani Herat magharibi mwa Afghanistan.
-
Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia
Mar 13, 2021 23:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa ujumbe unaoiwakilisha serikali ya nchi hiyo utashiriki katika kikao cha amani kuhusu Afghanistan kilichopangwa kufanyika huko Moscow mji mkuu wa Russia.
-
Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar
Mar 12, 2021 23:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan huko Moscow mji mkuu wa Russia si kwa ajili ya kuyashindanisha na mazungumzo ya makundi ya Kiafghani huko Qatar ; bali yatafanyika kwa ajili ya kusaidia mchakato huo.
-
Msimamo wa Rais wa Ashraf Ghani kuhusu kutokuwa na uhusiano vita vya Afghanistan na mafundisho ya Uislamu
Mar 01, 2021 23:12Rais wa Afghanistan amesema kuwa, vita vya nchi hiyo havina uhusiano wowote na Uislamu, haki na ubinadamu.
-
Mabilioni ya dola yapotea katika vita vya Marekani huko Afghanistan
Mar 01, 2021 08:44Wasimamizi wa serikali ya Marekani wametoa ripoti na kukiri juu ya kupotea mabilioni ya dola fedha zilizotumika katika vita vya miaka 20 vya nchi hiyo huko Afghanistan.
-
Taliban yaonya kuwa itaanzisha tena vita kamili dhidi ya Marekani nchini Afghanistan
Feb 27, 2021 03:01Msemaji wa Taliban amesema, kundi hilo halitakubali kuangaliwa upya au kufanywa mazungumzo tena kuhusu mapatano ya Qatar iliyofikia Marekani; na endapo Marekani itayakiuka mapatano hayo, huo utakuwa ni uanzishaji wa vita vipya nchini Afghanistan.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan nchini Russia
Feb 25, 2021 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia kwa madhumuni ya kufanya mazungumzo ya mashauriano na kubadilishana mawazo na viongozi wa Moscow kuhusu mchakato wa amani wa nchi yake na masuala ya kikanda.
-
Biden na machaguo yaliyo mbele yake kuhusu Afghanistan
Feb 22, 2021 23:20Mullah Baradar, mkuu wa ujumbe wa Taliban katika mazungumzo ya amani ameitaka Marekani iheshimu mapatano iliyofikia na kundi hilo kuhusu kuwaondoa askari wake nchini Afghanistan na akaonya kuwa, Taliban haitavumilia uingiliaji wa majeshi ya kigeni nchini humo.