-
Katibu Mkuu wa UN: Lazima Afrika iwe na sauti na iweze kunufaika na rasilimali zake
Feb 14, 2026 06:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito mkali wa kuhakikisha haki na mageuzi yanatekelezwa na kuimarishwa ushirikiano wa kimataifa, huku akiutaja Umoja wa Afrika AU, kama “kinara wa ushirikiano wa kimataifa katika dunia iliyogawanyika”.
-
Rais Xi Jinping wa China: Tutaziondolea ushuru nchi za Afrika ifikapo mwezi Mei
Feb 14, 2026 06:25Rais Xi Jinping wa China ametangaza kuwa, nchi yake itaziondolea ushuru nchi zingine za Afrika ifikapo mwezi Mei mwaka huu.
-
Mradi wa Mauaji ya Kimbari wa Italia nchini Libya
Feb 06, 2026 23:07Karne ya ishirini Miladia haikushuhudia tu matukio ya kushangaza ya binadamu, bali pia ilibeba baadhi ya kurasa zenye giza kuu katika historia ya mwanadamu. Katika moyo wa bara la Afrika, nchini Libya, dola moja ya kikoloni kutoka Ulaya ilitekeleza mpango wa kishetani na uliopangwa kwa umakini kwa lengo la kuangamiza taifa zima.
-
Jeshi la Nigeria lawakomboa mateka 62 na kuwaua wanamgambo 2 kaskazini magharibi mwa nchi
Jan 21, 2026 23:38Jeshi la Nigeria limeripoti kuwa wanajeshi watano na afisa mmoja wa polisi wameuawa katika shambulizi la kuvizia kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Afrika yakosoa hatua ya Trump ya kuiondoa US katika taasisi za kimataifa
Jan 14, 2026 03:15Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kuimarishwa mifumo ya pande nyingi ili kushughulikia changamoto za kimataifa, siku chache baada ya Marekani kuchukua uamuzi wa upande mmoja wa kujiondoa katika taasisi mbalimbali za kimataifa.
-
SWAPO yaitaka Marekani imuachie Maduro bila masharti yoyote
Jan 08, 2026 02:58Chama tawala nchini Namibia cha South West Africa People's Organization (SWAPO), kimetoa wito wa kuachiliwa huru mara moja na bila masharti yoyote Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel huko Somaliland; Tel Aviv katika njia ya kuyumbisha amani Pembe ya Afrika
Jan 07, 2026 23:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel amefanya safari huko Hargeisa, mji mkuu wa eneo la Somaliland, akiongoza ujumbe rasmi wa Israel.
-
Afrika yasisitiza mshikamano na Venezuela baada ya uvamizi wa Marekani kumteka nyara Maduro
Jan 07, 2026 04:34Nchi za Kiafrika zimesisitiza mshikamano wao na Venezuela kufuatia uvamizi uliofanywa na Marekani nchinii humo na kumteka nyara Rais Nicolas Maduro.
-
Israel yalaaniwa vikali kwa kutambua Somaliland kama nchi huru
Dec 27, 2025 03:11Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kutambua eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.
-
Ulaya na kupuuzwa nchi maskini; wakati kaulimbiu za haki za binadamu zinapopoteza maana yake
Dec 23, 2025 00:49Ulaya imefadhilisha kutoa misaada yake kwa Ukraine kuliko kutoa misaada hiyo kwa nchi maskini hasa za Afrika.