-
Watu karibu 100 wamepoteza maisha katika ghasia kubwa wakati wa mechi ya soka huko Guinea Conakry
Dec 02, 2024 12:06Ripoti zinasema kuwa vurugu zilitokeka jana wakati wa mechi kati ya timu ya soka ya Labe na Nzerekore huko Nzerekore, jiji la pili kwa ukubwa huko Guinea magharibi mwa Afrika.
-
Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia
Nov 09, 2024 10:38Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano wa Russia na Afrika umeanza leo katika mji wa pwani wa Sochi, kusini mwa Russia; kuashiria muundo mpya wa kawaida wa mazungumzo kufuatia mikutano ya kilele kati ya pande mbili hizo.
-
Chad yakanusha kuwaua raia katika mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo
Nov 03, 2024 03:10Serikali ya Chad imekanusha vikali ripoti kwamba jeshi lake liliwashambulia raia katika operesheni dhidi ya wanamgambo wanaobeba silaha.
-
UPSR: Afrika inajua kuwa BRICS imebadilisha mlingano wa jiopolitiki duniani
Oct 24, 2024 02:19Kiongozi mwandamizi wa chama kimoja cha upinzani nchini Cameroon amesema jumuiya ya BRICS ni mbadala halisi wa kuleta mlingano kwenye jiopolitiki duniani na kusisitiza kwamba, nchi za Afrika zinaelewa fika suala hili.
-
Mamilioni ya Waafrika kuwa masikini kwa sababu ya mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi
Oct 23, 2024 02:25Wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi wametahadharisha kuwa mgogoro wa hali ya hewa Afrika utawaelekeza katika umaskini watu wengine zaidi milioni 150 ifikapo mwaka 2050.
-
Guterres: Hatua madhubuti zichukuliwe kushughulikia migogoro na umaskini Afrika
Oct 22, 2024 15:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua madhubuti zinapasa kuchukuliwa ili kushughulikia mabadiliko ya tabianchi, migogoro na umaskini barani Afrika.
-
Ramaphosa aitolea wito BRICS kuwekeza pakubwa barani Afrika
Oct 21, 2024 12:05Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amelitolea wito kundi la BRICS kuwekeza katika maendeleo ya bara la Afrika kwa kuzingatia uwezo wa bara hilo.
-
Vifo vya Mpox vyapindukia 1,000 huku maambukizi yakienea katika nchi 18 za Afrika
Oct 18, 2024 14:00Bara la Afrika wiki iliyopita lilisajili vifo vipya 50 vilivyosababishwa na ugonjwa wa virusi wa Mpox na hivyo kufanya idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo kufikia 1,100 tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Ripoti hii ni kwa mujibu wa takwimu mpya za Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (Africa CDC).
-
Ufaransa yamkamata mwanaharakati anayepinga ukoloni Afrika
Oct 16, 2024 07:09Mwanaharakati na mwanamajimui mashuhuri wa kupinga ukoloni mamboleo barani Afrika, Stellio Gilles Robert Capo Chichi, maarufu kama Kemi Seba, amekamatwa nchini Ufaransa.
-
WHO: Takriban kesi 30,000 zinazoshukiwa kuwa za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa Afrika mwaka huu
Sep 25, 2024 02:22Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takriban kesi 30,000 zinazoshukiwa kuwa za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa mwaka huu barani Afrika, huku wengi wa walioambukizwa wakitoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.