-
AU yamteua Rais wa Burundi kuwa mjumbe wake maalum eneo la Sahel
Jul 18, 2025 13:50Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco ametangaza kumteua Evariste Ndayishimiye, Rais wa Burundi, kuwa mjumbe wake maalum katika eneo la Sahel.
-
Eswatini kuwatimua wahamiaji 'sugu' kutoka US baada ya malalamiko
Jul 17, 2025 04:59Serikali ya Eswatini ilisema jana Jumatano kwamba, inawashikilia raia watano wa nchi ya tatu waliofukuzwa kutoka Marekani katika magereza yaliyotengwa, chini ya makubaliano na utawala wa Rais Donald Trump, lakini inapania kuwarejesha katika nchi zao.
-
Afrika imenakili vifo 4,200 vya kipindupindu na mpox 2025
Jul 12, 2025 12:52Afrika imerekodi vifo zaidi ya 4,200 kutokana na miripuko ya kipindupindu na mpox inayoendelea kuripotiwa katika maeneo tofauti ya bara hilo mwaka 2025, Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) kimesema.
-
Je, mashirikiano ya Iran na Afrika yataimarika vipi?
Jun 12, 2025 02:09Katika kikao chao na Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, mabalozi wa Senegal na Sierra Leone wamesisitiza utayari wa nchi za Kiafrika kwa ajili ya kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na Iran.
-
Rwanda: Nchi za Afrika zitumie teknolojia kuimarisha sekta ya kilimo
Jun 11, 2025 07:20Waziri Mkuu wa Rwanda ametoa mwito kwa nchi za Afrika kukumbatia teknolojia na ubunifu kupiga jeki sekta ya kilimo barani humo.
-
Afisa wa Sudan: Ukraine inafanya ‘kazi chafu’ ya Wamagharibi Afrika
Jun 09, 2025 11:13Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan amesema Ukraine inatekeleza "kazi chafu" ya nchi za Magharibi kwa kuunga mkono makundi yenye silaha yanayohusika na mashambulizi ya kigaidi katika mataifa ya Afrika kama vile Libya, Somalia na Niger.
-
Bamada: Ukraine inaratibu mashambulizi ya magaidi nchini Mali
Jun 07, 2025 06:58Wakufunzi wa kijeshi wa Ukraine wanawafunza na kuwapa silaha wanamgambo wenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda nchini Mali.
-
Je, kubadilika mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika, ni kurudi nyuma au kubadilishwa mbinu?
May 30, 2025 12:19Jeshi la Marekani linaendelea kubadilisha na kulegeza misimamo yake ya awali kuhusu "utawala bora" barani Afrika na kukabiliana na vyanzo vya uasi na machafuko, na sasa linasisitiza kwamba serikali dhaifu za Kiafrika zinazoshirikiana na Marekani zinapasa kujitegemea zenyewe kijeshi na kiusalama.
-
Namibia yataka fidia ya 'maana' ya mauaji ya halaiki ya Ujerumani
May 29, 2025 06:01Namibia imefanya kumbukizi ya kuwaenzi wahanga wa mauaji ya kibari wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani, huku viongozi, wanasiasa na wakuu wa jamii zilizoathirika na ukatili huo wa askari wa Kijerumani wakitoa wito mpya wa kulipwa fidia na Berlin.
-
Ghana: Afrika ipo tayari kushirikiana na Russia kuunda mustakabali wa kimataifa
May 27, 2025 07:05Mbunge wa Ghana amesema Afrika iko tayari kuwa nguvu muhimu katika maendeleo ya kimataifa, akikaribisha uhusiano unaozidi kustawi wa bara hilo na Russia, alioutaja kama njia ya maendeleo endelevu.