-
Kwa nini Afrika ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Iran?
Oct 21, 2025 23:01Mkuu wa Jumuiya ya Biashara ya Pamoja ya Iran na Afrika amesema: "bara la Afrika ni hazina iliyofichika ya uchumi wa dunia na fursa kubwa kwa Iran."
-
Kanali Randrianirina aapishwa kuwa rais mpya wa Madagacar, SADC yaunda timu
Oct 17, 2025 08:29Kanali wa kijeshi, Michael Randrianirina, ameapishwa leo Ijumaa kuwa rais wa Madagascar katika mji mkuu, Antananarivo huku umuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ikimteua Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda kuongoza ujumbe wa kutafuta ukweli nchini Madagascar kufuatia matukio ya hivi karibuni ya kisiasa na kiusalama nchini humo.
-
Lavrov: Nchi za Magharibi zinachochea migawanyiko Afrika
Oct 15, 2025 08:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kivuli cha ukoloni kinasalia kuwa chanzo kikuu cha migogoro barani Afrika, na wakoloni wa zamani, sasa hivi wanajaribu kukwepa uwajibikaji kwa kuilaumu Moscow.
-
Ruto: Kuondolewa viza Afrika kutatatua changamoto za bara hilo
Oct 10, 2025 03:05Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kuongoza juhudi za kuondoa masharti ya viza kwa Waafrika na kutatua mizozo inayokumba bara hilo.
-
Russia: Kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inafadhili ugaidi katika nchi kadhaa za Afrika
Oct 09, 2025 09:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amesema, kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inayasaidia makundi ya wanamgambo na ya kigaidi katika eneo la Sahara-Sahel barani Afrika, ikiwa ni pamoja na kuyasambazia ndege zisizo na rubani,
-
Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel
Sep 30, 2025 09:04Wananchi na viongozi wa nchi za Kiafrika wamelaani jinai za Israel katika wimbi jipya la kuwaunga mkono Wapalestina.
-
Tanzania yatilia mkazo katika mkutano wa UNGA dai la Afrika kuwa na viti viwili vya kudumu katika UNSC
Sep 26, 2025 22:54Makamu wa Rais wa Tanzania Philip Mpango amesisitiza msimamo wa muda mrefu wa bara la Afrika wa kudai kuwa na angalau viti viwili vya kudumu vyenye kura ya turufu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kwa mujibu wa Makubaliano ya Ezulwini.
-
Kwa nini nchi tatu za Kiafrika zimejitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ?
Sep 26, 2025 22:44Nchi tatu za Kiafrika zimetangaza kuwa zimehitimisha unachama wao katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Rais wa Kenya atoa hotuba kali UNGA, asema mabadiliko ya Baraza la Usalama si 'kuifanyia fadhila Afrika'
Sep 25, 2025 03:11Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York siku ya Jumatano.
-
UN, AU na EU zaahidi kushirikiana kwa ajili ya amani na maendeleo barani Afrika
Sep 22, 2025 23:27Viongozi wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika AU na Umoja wa Ulaya EU, wametilia mkazo tena dhamira yao ya kuendeleza amani na maendeleo endelevu barani Afrika, kwa kuahidi ushirikiano wa kina zaidi ili kukomesha migogoro, kuimarisha mnepo na kukabiliana na changamoto za kimataifa kuanzia madeni hadi mabadiliko ya tabianchi.