-
WHO yatahadharisha kuhusu aina mpya ya maambukizi ya kirusi cha corona Afrika
Sep 24, 2021 08:08Wanasayansi na wasomi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) wametahadharisha kuhusu mambukizo mapya ya kirusi cha corona katika miezi ya mwisho ya mwaka huu barani Afrika.
-
Mwenyekiti wa AU ataka Afrika iwe na kiti cha uanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN
Sep 22, 2021 09:14Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambaye ni mwenyekiti sasa wa Umoja wa Afrika AU amewasilisha malalamiko kadhaa ya bara hilo katika mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ulioanza jana mjini New York, likiwemo la bara la Afrika kupatiwa uanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN.
-
Wafanyamapinduzi Guinea wakataa wito wa kuachia madaraka, wasema hawababaishwi na vikwazo
Sep 19, 2021 12:04Kundi la wanajeshi waliotwaa madaraka ya nchi huko Guinea kupitia mapinduzi limepinga mashinikizo ya kimataifa yanayotaka kuachiliwa huru rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeshikiliwa kizuizini, Alpha Conde na kurejeshwa kwa utawala wa kiraia.
-
Ufaransa yadai kumuua kiongozi wa Daesh katika eneo la Sahel
Sep 16, 2021 03:35Rais wa Ufaransa ametangaza habari ya kuuliwa kiongozi wa magaidi wa kundi la Daesh katika eneo la Sahel.
-
Watu milioni 7.87 wameambukizwa corona barani Afrika
Sep 04, 2021 22:46Nchi za Kiafrika zilirekodi maambukizi mapya 25,477 ya COVID-19 katika masaa 24 kufikia Jumamosi na hivyo kuifanya jumla ya watu walioambukizwa ugonjwa huo hadi kufikia sasa barani humo kuwa milioni 7.87.
-
Waasi wa Tigray, Ethiopia wakataa upatanishi wa mjumbe wa AU
Aug 29, 2021 21:58Wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) wamepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Afrika kumteua aliyekuwa rais wa Nigeria kuwa mpatanishi katika mgogoro unaoshuhudiwa kwa miezi kadhaa sasa katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.
-
Hofu ya Baraza la Usalama ya kuenea ugaidi barani Afrika
Aug 20, 2021 21:58Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimeleeza wasi wasi wao juu ya kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika nchi za Afrika.
-
WHO: Vifo vya COVID-19 vimeongezeka katika nchi za Afrika, eneo la Magharibi ni kwa 193%
Aug 20, 2021 03:10Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, Afrika Magharibi imeorodhesha idadi kubwa zaidi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 tangu janga hilo lilipoanza huku nchi kadhaa za ukanda huo zikiwa zinakabiliwa na miripuko mingine ya kipindupindu, ugonjwa wa Ebola na ugonjwa wa Virusi vya homa ya Marburg ambayo inatishia kuongeza shinikizo katika uwezo wa utoaji huduma katika ukanda huo.
-
Algeria yaendelea kupinga Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika
Aug 09, 2021 21:55Utata mkubwa ulioibuka baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika ungali unaendelea.
-
Idadi ya walioaga dunia kwa Corona yavunja rekodi Afrika
Aug 06, 2021 07:50Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa idadi ya wagonjwa walioaga dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 katika nchi za Kiafrika imevunja rekodi.