Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Waziri Mkuu wa Eswatini (Swaziland) aaga dunia kwa COVID-19

    Waziri Mkuu wa Eswatini (Swaziland) aaga dunia kwa COVID-19

    Dec 14, 2020 04:08

    Ambrose Dlamini, Waziri Mkuu wa Eswatini (Swazilanda) ambaye alikuwa amelazwa hospitalini huko Afrika Kusini, ameaga dunia kutokana na virusi vya maradhi ya corona au COVID-19

  • Afrika  CDC yakosoa rasmi suala la kutokuwepo usawa katika ugawaji chanjo ya corona

    Afrika CDC yakosoa rasmi suala la kutokuwepo usawa katika ugawaji chanjo ya corona

    Dec 10, 2020 09:02

    Afisa wa ngazi ya juu wa Afya ya Jamii barani Afrika amesema kuwa litakuwa jambo la kushangaza sana kuona nchi tajiri duniani zinapata chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 huku nchi za Kiafrika zikisalia patupu; hasa kunapoanza wimbi jipya la kesi za maambukizi ya corona katika bara hilo lenya watu bilioni 1.3.

  • Maambukizi ya COVID-19 barani Afrika yaongezeka

    Maambukizi ya COVID-19 barani Afrika yaongezeka

    Dec 07, 2020 03:42

    Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona barani Afrika inazidi kuongezeka.

  • Walioambukizwa COVID-19 barani Afrika wapindukia milioni 2.1

    Walioambukizwa COVID-19 barani Afrika wapindukia milioni 2.1

    Nov 29, 2020 08:53

    Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema, hadi kufikia jana Jumamosi idadi ya maambukizi ya virusi vya COVID-19 au corona barani humo imefikia 2,137,871, na watu 51,248 wamefariki dunia kutokana na virusi hivyo.

  • Uchaguzi wa Burkina Faso unafanyika leo chini ya wingu zito la ukosefu wa amani

    Uchaguzi wa Burkina Faso unafanyika leo chini ya wingu zito la ukosefu wa amani

    Nov 22, 2020 03:10

    Uchaguzi wa rais nchini Burkina Faso unafanyika leo Jumapili, Novemba 22, 2020 huku ukosefu wa amani na usalama ukiigubika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Ripoti: Nchi za Kiafrika hazipigi hatua kuelekea utawala bora

    Ripoti: Nchi za Kiafrika hazipigi hatua kuelekea utawala bora

    Nov 17, 2020 04:37

    Ripoti kuu iliyotolewa jana Jumatatu inaeleza kuwa, mchakato wa utawala bora umedorora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja hata kabla ya maambukizi ya corona kuiathri dunia huku masuala ya kuheshimu demokrasia na haki za binadamu yakidorora.

  • Libya: Sera za Umoja wa Ulaya zinawasukuma Waafrika upande wa kifo

    Libya: Sera za Umoja wa Ulaya zinawasukuma Waafrika upande wa kifo

    Nov 14, 2020 08:42

    Kamati ya Taifa ya Haki za Binadamu nchini Libya imekosoa vikali sera za uhajiri za Umoja wa Ulaya na kueleza kwamba, sera hizo zimekuwa zikiwasukuma Waafrika upande wa kifo.

  • Surua yaua watu 200,000 duniani, DRC, CAR, Madagascar zaongoza Afrika

    Surua yaua watu 200,000 duniani, DRC, CAR, Madagascar zaongoza Afrika

    Nov 13, 2020 08:03

    Ugonjwa wa surua ulisababisha vifo vya watu wapatao 207,000 mwaka jana pekee baada ya muongo mzima wa mkwamo wa kupanua wigo wa utoaji chanjo, limesema shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO.

  • Ndege za kivita za Ethiopia zashambulia maghala ya silaha huko Tigray

    Ndege za kivita za Ethiopia zashambulia maghala ya silaha huko Tigray

    Nov 12, 2020 22:07

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kuwa limetekeleza mashambulizi katika maghala ya silaha na kambi za kuhifadhia nishati za Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Watoto wasiopungua 6 wauawa katika shambulio la  waasi nchini Cameroon

    Watoto wasiopungua 6 wauawa katika shambulio la waasi nchini Cameroon

    Oct 25, 2020 04:50

    Watoto wasiopungua 6 wameuawa katika shambulio la watu wenye silaha lililolenga shule ya Fransisca International Bi-lingual Academy. Shambulio hilo lilifanyika jana katika eneo la Koumba kusini magharibi mwa Cameroon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS