-
Ripoti ya matukio ya Kiislamu juma hili nchini Tanzania + SAUTI
Oct 16, 2020 12:46Viongozi wa dini Tanzania wakemewa na Baraza la Maulamaa la BAKWATA kwa kujihusisha na kuwapigia kampeni wagombea wa vyama vya siasa katika uchaguzi mkuu
-
Sudan yakanusha kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Oct 15, 2020 23:09Duru moja ya kuaminika ndani ya Baraza la Uongozi la Sudan imekanusha taarifa zinazodai kuwa kumefikiwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya baraza hilo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mamia wapambana na polisi Tunisia baada ya muuza sigara kuuawa kwa buldoza
Oct 13, 2020 22:53Mamia ya waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe walipambana na polisi katika mji wa Sbeitla nchini Tunisia jana Jumanne baada ya mamlaka kushambulia kibanda cha sigara ambacho hakina leseni, na kumuua mmiliki wake aliyekuwa amelala ndani yake.
-
Uchumi wa Afrika kupungua kwa asilimia -3.3 mwaka 2020
Oct 11, 2020 04:20Ustawi wa uchumi katika eneo la Afrika kusini mwa jangwa la Sahara unakadiriwa kuwa hasi kwa asilimia -3.3 kwa mwaka huu kutokana na athari za virusi vya Corona.
-
WHO: Corona imezidisha idadi ya wenye kupatwa na matatizo za kiakili Afrika
Oct 09, 2020 04:24Shirika la Afya Duniani (WHO) limetadharisha juu ya ongezeko la watu wanaokumbwa na matatizo ya kisaikolojia barani Afrika, kutokana na athari hasi za janga la corona.
-
UN: Afrika imepoteza dola bilioni 800 kutokana na magendo
Sep 30, 2020 01:09Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) limesema bara la Afrika limepoteza zaidi ya dola bilioni 800 ndani ya miaka michache iliyopita kutokana na magendo na mzunguko haramu wa fedha.
-
AU yataka Afrika iwe na 'sauti' katika Baraza la Usalama la UN
Sep 23, 2020 04:48Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni Mwenyekiti wa kiduru wa Umoja wa Afrika (AU) amesema muundo wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo unapaswa kuangaliwa upya kwa kuwa namna ulivyo hauakisi taswira halisi ya dunia ya leo.
-
UNICEF yazitaka nchi za mashariki na kusini mwa Afrika zifungue shule
Sep 22, 2020 22:05Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umezitaka serikali za nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kufungua shule haraka iwezekanavyo sambamba na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa salama wanaporejea shuleni.
-
Uturuki: Ankara itaendelea kuisaidia serikali ya GNA Libya hata baada ya Sarraj kung'atuka
Sep 21, 2020 23:11Uturuki imetangaza kuwa itaendelea kuiunga mkono serikali inayotambuliwa kimataifa ya Libya licha ya Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj kutangaza wiki iliyopita kwamba, anapanga kuondoka madarakani mwishoni mwa mwezi ujao.
-
Covid-19; WHO yaainisha kanuni za kufanyia majaribio dawa za asili za Kiafrika
Sep 20, 2020 22:57Huku jitihada za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 zikiendelea katika nchi kadhaa duniani, Shirika la Afya Duniani (WHO) limeafiki kanuni za kufanyia majaribio dawa za asili za Kiafrika kwa ajili ya kutibu ugonjwa huo.