Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Balozi: Safari ya Rais wa Iran nchini Afrika Kusini itaimarisha uhusiano wa nchi mbili

    Balozi: Safari ya Rais wa Iran nchini Afrika Kusini itaimarisha uhusiano wa nchi mbili

    May 31, 2022 21:01

    Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema safari tarajiwa ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afrika Kusini katika mwezi wa Oktoba au Novemba mwaka huu itakuwa fursa ya kuimarisha uhusiano wa nchi mbili.

  • Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao

    Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao

    May 23, 2022 20:48

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake.

  • Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa

    Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa

    Apr 27, 2022 22:20

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kwa mnasaba wa taifa hilo la Kiafrika kuadhimisha Siku ya Taifa.

  • Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Afrika Kusini

    Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Afrika Kusini

    Apr 22, 2022 03:25

    Afrika Kusini ambayo ilikuwa shwari kutokana na kupungua kwa maambukizi ya corona kwa kiasi fulani katika siku za karibuni imetangaza kukumbwa kwa mara nyingine tena na ongezeko la maambukizi ya corona nchini humo.

  • Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Apr 15, 2022 07:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Afrika Kusini kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono na kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Walioaga dunia kwa mafuriko Afrika Kusini waongezeka, wafikia 253

    Walioaga dunia kwa mafuriko Afrika Kusini waongezeka, wafikia 253

    Apr 13, 2022 21:56

    Idadi ya watu waliofariki dunia katika jimbo la KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini kutokana na mafuriko yaliyosababisha uharibifu mkubwa, imefikia zaidi ya 250.

  • Utafiti: Mabadiliko ya tabianchi yameshadidisha vimbunga Afrika

    Utafiti: Mabadiliko ya tabianchi yameshadidisha vimbunga Afrika

    Apr 12, 2022 05:54

    Timu ya kimataifa ya wanasayansi wa hali ya hewa imesema vimbunga vilivyoshuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni katika nchi za kusini mwa Afrika vilisababishwa na mabadiliko ya tabianchi.

  • Rais wa Afrika Kusini alaani hujuma dhidi ya raia wa kigeni

    Rais wa Afrika Kusini alaani hujuma dhidi ya raia wa kigeni

    Apr 11, 2022 22:11

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema ni jambo la kusikitisha kuona kuwa hisia na hujuma dhidi ya raia wa kigeni zinashabihiana na yale yaliyokuwa yakijiri nchini humo katika zama za utawala wa ubaguzi wa rangi au apathaidi.

  • Ramaphosa: Mgogoro wa Ukraine umefichua udhaifu wa Baraza la Usalama la UN

    Ramaphosa: Mgogoro wa Ukraine umefichua udhaifu wa Baraza la Usalama la UN

    Apr 08, 2022 22:02

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mgogoro wa Ukraine umeanika wazi udhaifu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na namna taasisi hiyo kubwa zaidi ya kimataifa isivyo na uwezo wa kuidhaminia dunia amani na usalama.

  • Maandamano ya kulaani ongezeko la visa vya uhalifu yafanyika Afrika Kusini

    Maandamano ya kulaani ongezeko la visa vya uhalifu yafanyika Afrika Kusini

    Apr 07, 2022 05:45

    Mamia ya watu wamefanya maandamano nchini Afrika Kusini kulalamikia ongezeko la visa vya uhalifu wanavyodai kuwa vinafanywa na raia wa kigeni nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS