-
Ramaphosa: NATO ndiyo ya kulaumiwa kwa vita vya Russia nchini Ukraine
Mar 18, 2022 11:31Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameilaumu NATO kwa vita vya Ukraine na kusema kuwa atapinga wito wa kuilaani Russia. Matamshi haya ya Ramaphosa yanatia shaka iwapo atakubaliwa na Ukraine au nchi za Magharibi kama mpatanishi katika mzozo huo.
-
Benki ya Dunia: Afrika Kusini inaongoza kwa ufa mkubwa wa umiliki wa kipato duniani
Mar 10, 2022 08:55Benki ya Dunia imetangaza kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi yenye ufa mkubwa zaidi wa tofauti ya kipato baina ya watu wake kutokana na asilimia 10 ya raia wake wazungu kumiliki zaidi ya asilimia 80 ya utajiri wote wa nchi hiyo. Ripoti hiyo imesema, mbari na rangi za watu ndilo suala linalochangia zaidi hali hiyo.
-
Afrika Kusini yataka Israel ichukuliwe hatua kwa jinai zake za 'apartheid'
Feb 18, 2022 07:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua ya moja kwa moja dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mienendo yake ya ubaguzi wa rangi wa apartheid.
-
Maambukizi ya aina mpya ya spishi ya Omicron yachachamaa Afrika Kusini
Feb 05, 2022 01:08Afrika Kusini imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya aina mpya ya spishi ya kirusi cha Corona cha Omicron, iliyopewa jina la kitaalamu la BA.2.
-
Aliyechoma moto Bunge la Afrika Kusini kuhukumiwa Februari 4
Jan 31, 2022 00:34Zandile Mafe atajua hatima yake siku chache zijazo baada ya mahakama ya jimbo la Cape Town nchini Afrika Kusini kueleza kuwa itatoa hukumu kuhusu mtuhumiwa huyo tarehe 4 mwezi ujao wa Februari. Zandile Mafe anakabiliwa na tuhuma za kuchoma kwa makusudi jengo la Bunge la Afrika Kusini
-
Simba waambukizwa Corona na wahudumu wa mbuga Afrika Kusini
Jan 20, 2022 00:56Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Pretoria nchini Afrika Kusini wamesema simba watatu na puma wawili waliopatikana na maambukizi ya virusi vya Corona waliambukizwa na wafanyakazi wa mbuga moja ya wanyamapori nchini humo.
-
Waislamu Afrika Kusini wataka kulindwa turathi za kale Cape Town
Jan 16, 2022 04:35Wanaharakati wa Kiislamu katika wilaya ya Bo-Kaap jijini Cape Town nchini Afrika Kusini wametoa mwito wa kulindwa na kuhifadhiwa turathi na athari za kale hususan za kidini katika eneo hilo ambalo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu.
-
Vinasaba vya askari wa Afrika Kusini wanaolinda amani DRC vyakusanywa ili kubaini baba za watoto
Jan 13, 2022 00:42Jeshi la Afrika Kusini limepeleka timu yake kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO, ili kuchunguza vinasaba (DNA) vya watoto na wanawake waliobakwa na walinda amani ili hatimaye kuthibitisha iwapo watuhumiwa ni walinda amani kutoka Afrika Kusini na kisha watoto hao watambue baba zao na pia kupatiwa malezi.
-
Upinzani Afrika Kusini wakituhumu chama tawala kuliteketeza kwa moto jengo la Bunge
Jan 03, 2022 08:48Mmoja wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini Afrika kusini amekituhumu chama tawala cha Kongresi ya Taifa cha nchi hiyo (ANC) kuwa kimehusika na moto ulioteketeza kikamilifu sehemu ya jengo la Bunge la nchi hiyo.
-
Moto uliochoma Bunge Afrika Kusini, Ramaphosa atoa amri ya kufanyika uchunguzi
Jan 03, 2022 04:09Rais wa Afrika Kusini ametoa amri ya kufanyika uchunguzi wa kina na wa haraka baada ya jengo la Bunge la nchi hiyo kuteketea kikamilifu kwa moto mjini Cape Town. Jengo hilo lina umri wa miaka 138.