-
Wazimamoto Afrika Kusini wadhibiti moto uliounguza majengo ya Bunge, Cape Town
Jan 02, 2022 07:21Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema kuwa kikosi cha zimamoto kimefanikiwa kudhibiti kwa kiasi fulani moto mkubwa uliokuwa ukiunguza jengo la Bunge la nchi hiyo jijini Cape Town.
-
Ramaphosa: Desmond Tutu alikuwa mzalendo asiye na kifani
Dec 26, 2021 23:13Katika ujumbe wake kwenye mtandao wa Twitter, Rais wa Afrika Kusini amemtaja Askofu Mkuu Desmond Tutu, mwanaharakati wa vuguvugu la kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo, kuwa alikuwa mzalendo wa kipekee.
-
Mahakama yamwamuru rais wa zamani wa Afrika Kusini arudi jela kumaliza kifungo chake
Dec 15, 2021 11:26Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imemwamuru aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jacob Zuma arudi jela baada ya kufuta uamuzi wa kumtoa kifungoni kwa sababu za kitiba.
-
Amnesty International: Corona imezidisha ukiukaji wa haki za binadamu Afrika Kusini
Dec 11, 2021 04:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa janga la corona limekuwa na "athari mbaya" kwa haki za binadamu nchini Afrika Kusini, huku visa vinavyoongezeka vya unyanyasaji wa kijinsia (GBV) na kampeni za mitandao ya kijamii za chuki dhidi ya wageni zikiripotiwa.
-
Afrika Kusini yajiandaa kukabiliana na kesi zaidi za maambukizi ya Omicron
Dec 06, 2021 23:25Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema hospitali za nchi hiyo zinajiandaa kwa ajili ya kupokea wagonjwa zaidi wa virusi vya corona huku nchi hiyo ikiingia kwenye wimbi la nne la maambukizi ya COVID-19 hususan aina ya mpya ya kirusi cha Omicron.
-
Waafrika Kusini wapinga azma ya Shell kuchimba mafuta pwani ya nchi hiyo
Dec 05, 2021 23:46Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika fukwe za nchi hiyo kupinga mpango wa shirika la mafuta la Uingereza na Uholanzi la Royal Dutch Shell wa kuchimba mafuta katika pwani ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
AU yapinga marufuku ya usafiri kutokana na spishi mpya ya Corona
Nov 28, 2021 08:28Umoja wa Afrika umekosoa vikali marufuku za kuzuia wasafiri kutoka nchi za kusini mwa Afrika kuelekea mataifa mengine ya dunia zilizotangazwa na nchi mbalimbali duniani hususan za Magharibi, baada ya kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona aina ya Omicron nchini Afrika Kusini.
-
Afrika Kusini yaikosoa UK kwa kusimamisha safari za ndege, kisa spishi mpya ya corona
Nov 27, 2021 01:08Afrika Kusini imeikosoa vikali serikali ya Uingereza kwa kupiga marufuku raia wa hiyo pamoja na nchi za Botswana, Namibia, Zimbabwe, Lesotho na Eswatini kuingia katika nchi hiyo ya Ulaya, kufuatia kugunduliwa spishi mpya ya corona kwa jina B.1.1.529 katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Wasiwasi mkubwa wazuka baada ya spishi mpya ya kirusi cha corona kugunduliwa nchini Afrika Kusini
Nov 26, 2021 04:34Wanasayansi wa Afrika Kusini wamesema wana wasiwasi mkubwa kutokana na spishi mpya ya kirusi cha corona iliyogunduliwa nchini humo ingawa ni katika kiwango kidogo na kwamba wanaendelea na uchunguzi ili kubaini athari kinachoweza kusababisha.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini inakabiliwa na 'janga' la dhulma dhidi ya wanawake
Nov 23, 2021 03:57Rais wa Afrika Kusini amesema dhulma za kijinsia na ukandamizaji unaofanywa na wanaume dhidi ya wanawake ni 'janga' la pili linaloisumbua nchi hiyo kwa sasa, mbali na tandavu ya ugonjwa wa Covid-19.