Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Algeria na Afrika Kusini zapinga tena Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Algeria na Afrika Kusini zapinga tena Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Nov 16, 2021 13:21

    Algeria na Afrika Kusini zimetangaza tena msimamo wao wa kupinga utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika, AU.

  • Afrika Kusini 'yamnawa' raia wake atakayeshiriki tamasha la ulimbwende Israel

    Afrika Kusini 'yamnawa' raia wake atakayeshiriki tamasha la ulimbwende Israel

    Nov 15, 2021 08:15

    Serikali ya Pretoria imejibari na uamuzi wa 'Bi Afrika Kusini' Lalela Mswane wa kukubali mwaliko wa kushiriki Tamasha la Ulimbwende linalotazamiwa kufanyika mwezi ujao huko Israel.

  • Balozi wa Afrika Kusini Tehran ataka Iran iondolewe vikwazo

    Balozi wa Afrika Kusini Tehran ataka Iran iondolewe vikwazo

    Nov 06, 2021 04:36

    Balozi wa Afrika Kusini katika mji wa Tehran amesema kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran ni kwa maslahi ya jamii ya kimataifa. Ameongeza kuwa kuondolewa vikwazo hivyo kutakuwa na manufaa kwa nchi nyingi duniani.

  • Watafiti wa Afrika Kusini wagundua fuvu la mwanadamu wa miaka laki mbili na nusu iliyopita

    Watafiti wa Afrika Kusini wagundua fuvu la mwanadamu wa miaka laki mbili na nusu iliyopita

    Nov 05, 2021 07:26

    Timu ya watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na vyuo vikuu vingine 13 siku ya Alhamisi ya jana ilitangaza kugunduliwa kwa sehemu za fuvu la kichwa na meno ya mtoto aliyefariki dunia takriban miaka 250,000 iliyopita anayekadiriwa kuwa alikuwa na takriban miaka minne hadi sita.

  • ANC yaongoza matokeo ya awali ya uchaguzii wa serikali za mitaa Afrika Kusini

    ANC yaongoza matokeo ya awali ya uchaguzii wa serikali za mitaa Afrika Kusini

    Nov 02, 2021 12:45

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Afrika Kusini uliofanyika Jumatatu ya jana yanakipatia chama tawala cha African National Congress (ANC) asilimia 46 ya kura. Matokeo hayo yametajwa kuwa ni ya zaidi ya robo ya vituo vya kupigia kura kote nchini humo.

  • Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuimarisha ushirikiano wao

    Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuimarisha ushirikiano wao

    Oct 11, 2021 23:41

    Serikali za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimeazimia kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga za kieneo na kimataifa.

  • Upinzani nchini Afrika Kusini wataka Jacob Zuma arudishwe jela

    Upinzani nchini Afrika Kusini wataka Jacob Zuma arudishwe jela

    Sep 11, 2021 03:01

    Upinzani nchini Afrika Kusini umewasilisha malalamiko mahakamani ukitaka rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma arejeshwe gerezani.

  • Afrika Kusini yasema aina mpya ya Corona si tishio kwa sasa

    Afrika Kusini yasema aina mpya ya Corona si tishio kwa sasa

    Sep 03, 2021 21:56

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini amesema wanasayansi wameitaarifu serikali ya nchi hiyo kuwa, spishi mpya ya kirusi cha Corona iliyoripotiwa miezi michache iliyopita nchini humo si hatari na tishio kwa sasa.

  • Afrika Kusini yapinga Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Afrika Kusini yapinga Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU

    Jul 28, 2021 22:03

    Serikali ya Afrika Kusini imepinga kitendo cha kutambuliwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika (AU.

  • Waliouawa katika ghasia za Afrika Kusini wapindukia 330

    Waliouawa katika ghasia za Afrika Kusini wapindukia 330

    Jul 23, 2021 03:19

    Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika ghasia zinazoendelea nchini humo imepindukia 300.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS