-
Utayari wa kujiuzulu kwa masharti Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
Feb 07, 2018 11:48Duru za habari za Afrika Kusini zimeripoti kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ametangaza utayari wa kuachia ngazi kwa masharti.
-
Hotuba ya Rais Zuma katika Bunge la Afrika Kusini yaakhirishwa
Feb 06, 2018 23:05Spika wa Bunge la Afrika Kusini Baleka Mbete amesema hotuba ya kila mwaka ya rais kuhusu hali ya nchi, imeakhirishwa kutokana na mashinikizo anayokabiliana nayo Rais Jacob Zuma.
-
Afisa wa ngazi ya juu wa ANC: Zuma anapasa kujiuzulu
Feb 03, 2018 23:58Afisa wa ngazi ya juu katika chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) amesema kuwa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anapasa kujiuzulu na hivyo kuzidisha mashinikizo kwa Zuma ambaye anaonekana kudhoofika tangu Cyril Ramaphosa achaguliwe kuwa Mwenyekiti wa chama tawala ANC mwezi Disemba mwaka jana.
-
Kiongozi wa chama cha ANC: Afrika Kusini imeingia katika zama mpya
Jan 26, 2018 13:19Kiongozi mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini cha Kongresi ya Taifa (ANC ) amesema kuwa nchi hiyo imeingia katika zama mpya chini ya uongozi wake; hiyo ikiwa ni ishara mpya kwamba siku za Jacob Zuma kukalia kiti cha rais zinahesabika.
-
Chama tawala Afrika Kusini kumuuzulu Rais Zuma kwa nguvu
Jan 21, 2018 04:13Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimetishia kumuuzulu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo iwapo hatakubali kuachia ngazi kwa khiari.
-
200 wauawa, kujeruhiwa katika ajali ya treni Afrika Kusini
Jan 04, 2018 10:46Kwa akali watu 14 wamethibitishwa kupoteza maisha huku wengine zaidi ya 180 wakijeruhiwa katika ajali mbaya ya garimoshi iliyotokea mapema leo kati ya eneo la Kroonstad na Hennenman, katika mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini
-
Waislamu Afrika Kusini wawaandalia Wakristo karamu kwa mnasaba wa Krismasi
Dec 23, 2017 23:56Waislamu na Wakristo wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini wamefanya kikao cha pamoja kwa mnasaba wa kuadhimisha na kukumbuka tukio la kuzaliwa Nabii Issa Masiih (as).
-
Hamas yakaribisha takwa la ANC la kupunguzwa uhusiano wa kidiplomasia wa Afrika Kusini na Israel
Dec 22, 2017 12:13Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imekaribisha kwa mikono miwili takwa la chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kwa serikali ya nchi hiyo la kupunguzwa kiwango cha ushirikiano wa kidiplomasia wa nchi hiyo na utawala ghasibu wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa atembelea Libya
Dec 22, 2017 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Yves Le Drian ameyataka makundi hasimu nchini Libya kuheshimu juhudi za upatanishi za Umoja wa Mataifa na kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2018
-
Afrika Kusini kuteremsha hadhi ya ubalozi wake huko Israel
Dec 21, 2017 12:48Afrika Kusini imesema kuwa itateremsha hadhi ya mahusiano yake ya kidiplomasia huko Israel ikiwa ni radiamali kwa uamuzi wa Marekani wa kuutambua mji wa Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel.