-
Mlipuko wa 'bacteria' waua makumi ya watu nchini Afrika Kusini
Dec 06, 2017 04:31Kwa akali watu 36 wamepoteza maisha kutoka na mlipuko wa vijidudumaradhi (bacteria) vinavyoathiri chakula nchini Afrika Kusini.
-
Afrika Kusini na Morocco kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia
Dec 03, 2017 11:03Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo itafufua uhusiano wa kidiplomasia na Morocco, baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja tangu nchi hiyo ya Kiarabu imuondoe balozi wake mjini Pretoria.
-
Mnangagwa arejea Zimbabwe, kuapishwa Ijumaa kumrithi Mugabe
Nov 22, 2017 13:02Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni na Rais Robert Mugabe aliyetangaza kujiuzulu hapo jana amerejea nchini akitokea Afrika Kusini.
-
Dakta Zarif: Wairani wanaoishi nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya Iran
Oct 25, 2017 01:07Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wairani walioko nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya taifa hili.
-
Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili
Oct 24, 2017 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini mjini Pretoria.
-
Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuendelea kuimarisha uhusiano
Oct 23, 2017 10:28Afrika Kusini na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeafikiana kuhusu kuimarisha uhusiano wa nchi mbili katika sekta mbali mbali.
-
Safari ya Zarif barani Afrika, hatua nyingine ya kustawisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Oct 23, 2017 04:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif jana Jumapili aliwasili nchini Afrika Kusini akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi kwa shabaha ya kufanya mazungumzo na viongozi wa serikali ya Pretoria.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran yuko safarini Afrika Kusini
Oct 22, 2017 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif leo amewasili Afrika Kusini katika safari yake ya kuzitimbelea nchi kadhaa za bara Afrika.
-
Mahakama ya Juu Afrika Kusini yaidhinisha kufunguliwa tena mashtaka 783 ya ufisadi dhidi ya Rais Zuma
Oct 14, 2017 11:58Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imeidhinisha kufunguliwa tena mashtaka yapatayo 800 ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kabla ya kuwa rais. Mashtaka hayo ya ufisadi yanahusu mkataba wenye thamani ya randi bilion 30, sawa na dola bilioni mbili wa mauzo ya silaha yaliyoihusisha serikali ambayo yalifanyika mwishoni mwa miaka ya 90.
-
Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuongeza ushirikiano wa mawasiliano na teknolojia ya habari
Sep 27, 2017 10:48Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimekubaliana kuongeza kiwango cha ushirikiano wao katika uga wa mawasiliano na teknolojia ya habari.