-
Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma
Sep 27, 2017 10:43Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika mji wa Cape Town kudhihirisha ghadhabu zao kutokana na kashfa mbalimbali za ufisadi, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Afrika Kusini akitaka chama ANC kimuadhibu Zuma
Sep 22, 2017 13:00Waziri wa Nyumba na Makazi wa Afrika Kusini, Lindiwe Sisulu leo amesema kuwa chama tawala nchini humo ANC kinapasa kumuadhibu Rais Jacob Zuma kwa kukisababishia chama hicho sifa mbaya.
-
Waafrika Kusini waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Waislamu, Myanmar
Sep 16, 2017 02:38Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano wakilaani mauaji ya kimbari yanayofanyika nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Iran na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wao wa Kibunge
Sep 12, 2017 10:30Hossein Amir-Abdollahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Bunge la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Afrika Kusini zinaweza kutumia uwezo wao kuondoa vizuizi vilivyopo ili kuimarisha uhusiano wa pande mbili ukiwemo wa kibunge.
-
Juhudi za wapinzani wa serikali Afrika Kusini za kumuondoa madarakani Jacob Zuma
Sep 06, 2017 05:45Vyama vya upinzani nchini Afrika Kusini vimeanzisha mikakati mipya ya kumsaili na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kwa kuwasilisha mashtaka katika Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo.
-
Upinzani Afrika Kusini waanzisha jitihada mpya za kumuuzulu Zuma
Sep 05, 2017 23:11Vyama vya upinzani nchini Afrika Kusini vimeanzisha jitihada mpya za kumuondoa madarakani Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ambaye tayari anaandamwa na kesi chungu nzima za ufisadi na utumiaji mbaya wa mamlaka.
-
Zarif: Iran ni mshirika wa kuaminiwa wa Afrika Kusini
Sep 04, 2017 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inaweza kuwa mshirika wa kuaminika wa Afrika Kusini katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Mtazamo maalumu wa Iran kuhusu bara la Afrika
Sep 03, 2017 01:30Katika mazungumzo yake na Spika wa Bunge la Afrika Kusini, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inalipa umuhimu mkubwa suala la kuimarisha uhusiano wake na nchi zote za Afrika.
-
Rais Rouhani: Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini
Sep 02, 2017 10:45Rais Hassan Rouhani amesema Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na nchi za Kiafrika hususan Afrika Kusini.
-
Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran
Sep 01, 2017 10:47Spika wa Bunge la Afrika Kusini amewasili Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.