-
Shambulio la kundi la kigaidi la as-Shabaab dhidi ya askari wa kulinda amani nchini Somalia
May 05, 2022 05:30Jeshi la Burundi limetangaza kuwa askari wake 10 wa kulinda amani wanaohudumu nchini Somalia chini ya mwavuli wa Umoja wa Afrika wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la as-Shabaab katika kambi ya askari wa umoja huo.
-
Watu 3 wauliwa katika shambulio la al Shabab katika kambi ya AU Somalia
May 04, 2022 08:12Kundi la wanamgambo wa al Shabab lenye makao yake nchini Somalia limeishambulia kambi ya wanajeshi wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika (AU) katika mkoa wa Shabelle katikati ya Somalia.
-
Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug
Apr 04, 2022 11:23Kikosi maalumu cha Danab cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) kimefanikiwa kuwaangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Magaidi 2 wa al-Shabaab wauawa wakijaribu kushambulia uwanja wa ndege Somalia
Mar 24, 2022 03:30Wanachama wawili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab wameangamizwa walipojaribu kushambulia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aden Adde katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Watu 14 wauawa baada ya gaidi kujiripua kwa bomu Somalia
Feb 20, 2022 07:58Kwa akali watu 14 wamepoteza maisha baada ya gaidi aliyekuwa amejifunga bomu kujiripua katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Somalia.
-
Magaidi 20 wa al-Shabaab waangamizwa na askari wa AMISOM, Somalia
Feb 18, 2022 03:09Wanachama zaidi ya 20 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM).
-
Jeshi la Somalia lakomboa miji, vijiji 10 vilivyokuwa vimetwaliwa na al-Shabaab
Jan 26, 2022 12:16Jeshi la Taifa la Somalia limefanikiwa kukomboa miji na vijiji kadhaa vya nchi hiyo vilivyokuwa vimetekwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab.
-
Magaidi 17 wa kundi la al-Shabab waangamizwa na jeshi katikati mwa Somalia
Jan 08, 2022 07:10Wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabab la Somalia wameangamizwa na jeshi katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufuatia opesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji hao.
-
Askari polisi wanne wa Kenya wauawa, magaidi wa Ash-Shabaab washukiwa kuhusika
Jan 08, 2022 03:24Maafisa wanne wa polisi ya Kenya wameuawa katika shambulio la kuvizia katika eneo la pwani ya nchi hiyo linalopakana na Somalia, amblo hulengwa mara kwa mara na wanamgambo wa kundi la kigaidi la Ash-Shabaab.
-
Watu 6 wauawa katika shambulio la al-Shabaab Lamu, Kenya
Jan 03, 2022 11:04Kwa akali watu sita wameuawa katika shambulio la kundi la kigaidi la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu, Pwani ya Kenya.