-
5 wauawa katika shambulio la bomu la al-Shabaab kusini mwa Somalia
Dec 06, 2021 03:17Watu wasiopungua watano wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mgahawa mmoja wenye shughuli nyingi kusini mwa Somalia.
-
Idadi ya magaidi wa al Shabab waliouawa na jeshi la Somalia yafika 90
Aug 26, 2021 03:45Jeshi la Somalia limeripoti kuwa, idadi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al Shabab waliouawa katika oparesheni ya jeshi hilo imeongezeka.
-
Jeshi la Somalia lamkamata kamanda mkuu wa al-Shabaab
Jul 26, 2021 12:27Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza habari ya kumtia mbaroni kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kusini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 50 wa kundi la al-Shabab Somalia waangamizwa na jeshi
Jul 21, 2021 12:06Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, magaidi wasiopungua 50 wa kundi la al-Shabab wameangamizwa kufuatia shambulio la anga dhidi ya ngome zao katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Makurutu 15 wa kijeshi wauawa katika shambulio la kigaidi, Somalia
Jun 16, 2021 02:35Kwa akali makurutu 15 wameuawa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi katika kambi moja ya mafunzo ya kijeshi huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Jeshi la Somalia laendelea kutoa kipigo kwa magaidi wa al-Shabaab
Jun 12, 2021 12:35Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeendelea kuandamwa na wimbi la vipigo kutoka kwa Jeshi la Taifa la Somalia (SNA), ambalo linatazamiwa kutwikwa jukumu la ulinzi na usalama wa nchi baada ya kumalizika muda wa Mpango wa Mpito wa Somalia (STP).
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 130 wa al-Shabaab
Jun 08, 2021 02:50Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limetangaza habari ya kufanikiwa kuua wanachama wasiopungua 130 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kipindi cha wiki tatu zilizopita.
-
Wanachama 30 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jun 02, 2021 06:45Jeshi la Somalia limefanikiwa kuua wanachama wasiopungua 30 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati mwa nchi.
-
Magaidi 100 wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia
May 31, 2021 07:23Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, limeua wanamgambo 100 wa genge la kigaidi la al Shabab wakiwemo makamanda kadhaa wa genge hilo katika operesheni maalumu ya kijeshi huko kusini mwa Somalia.
-
Magaidi 76 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia
Apr 04, 2021 11:02Jeshi la Somalia limesema kuwa limeangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika operesheni ya kiusalama kusini mwa Somalia.