Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Answarullah: Kusimamishwa vita na kuondolewa mzingiro Yemen, ndilo sharti la kila mazungumzo

    Answarullah: Kusimamishwa vita na kuondolewa mzingiro Yemen, ndilo sharti la kila mazungumzo

    Mar 08, 2020 23:24

    Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa kuanza mazungumzo yoyote kunategemea kusimamishwa uvamizi wa muungano wa Saudia dhidi ya Yemen sambamba na kuondolewa mzingiro nchi hiyo.

  • Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen

    Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen

    Mar 06, 2020 07:34

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Watu wa Yemen amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Marekani na Uingereza wanaongoza mashambulizi yanayofanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.

  • Vikosi vya Yemen vyashambulia tena Aramco ya Saudia

    Vikosi vya Yemen vyashambulia tena Aramco ya Saudia

    Feb 21, 2020 23:16

    Kwa mara nyingine tena vikosi vya jeshi la Yemen vimefanya mashamblizi kwa kutumia makombora dhidi ya taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco katika mkoa wa Madina, magharibi mwa Saudia.

  • Yemen yakadhibisha madai ya Saudia na Imarati ya kuhusika Ansarullah katika shambulio kubwa huko Ma'rib

    Yemen yakadhibisha madai ya Saudia na Imarati ya kuhusika Ansarullah katika shambulio kubwa huko Ma'rib

    Jan 21, 2020 08:41

    Harakati ya wapiganaji wa Ansarullah wa Yemen imekanusha madai ya Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba ndiyo iliyohusika na shambulio kali la kombora katika ngome za wanamgambo wenye mfungamano na Riyadh katika mji wa Ma'rib kusini mwa Yemen.

  • Answarullah ya Yemen: Damu ya Jenerali Qasem Soleimani imeainisha njia ya kuhitimisha uwepo wa Marekani katika eneo

    Answarullah ya Yemen: Damu ya Jenerali Qasem Soleimani imeainisha njia ya kuhitimisha uwepo wa Marekani katika eneo

    Jan 06, 2020 10:07

    Salim Al-Mughlis, Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah ya nchini Yemen amesema kuwa shahidi Qassem Soleimani ameainisha njia ya kuhitimisha uwepo wa Marekani katika eneo hili.

  • Muhammad al Houthi: Saudi Arabia inapasa kukubali amani ili kuhitimisha matatizo ya kiuchumi yanayoikabili

    Muhammad al Houthi: Saudi Arabia inapasa kukubali amani ili kuhitimisha matatizo ya kiuchumi yanayoikabili

    Dec 29, 2019 04:31

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia inapasa kukubali amani ili kupunguza gharama kubwa za kuendesha vita huko Yemen ambazo zimeipelekea nchi hiyo ikabiliwe na matatizo chungu nzima ya kiuchumi.

  • Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat

    Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat

    Dec 24, 2019 23:25

    Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mohammad Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen nchini Oman.

  • Harakati ya Answarullah ya Yemen: Marekani ndio inazuia kusimamishwa vita

    Harakati ya Answarullah ya Yemen: Marekani ndio inazuia kusimamishwa vita

    Dec 14, 2019 21:43

    Mohammed Ali al-Houthi, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen ameitaja Marekani kuwa ndio kizuizi kikuu cha kutosimamishwa uvamizi na mzingiro dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.

  • Harakati ya Ansarullah yakaribisha kuondoka wanajeshi wa Sudan huko Yemen

    Harakati ya Ansarullah yakaribisha kuondoka wanajeshi wa Sudan huko Yemen

    Dec 08, 2019 23:08

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameunga mkono uamuzi wa Waziri Mkuu wa Sudan wa kuondoa wanajeshi wa nchi hiyo walioko Yemen.

  • Yemen yaikosoa China kwa kuwa na msimamo wa undumilakuwili kuhusiana na nchi hiyo

    Yemen yaikosoa China kwa kuwa na msimamo wa undumilakuwili kuhusiana na nchi hiyo

    Dec 01, 2019 09:31

    Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameikosoa China kwa kuwa na msimamo unaogongana na wa undumilakuwili kuhusiana na nchi hiyo, baada ya ndege moja isiyo na rubani iliyotengezwa China kutunguliwa kaskazini magharibi mwa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS