Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Yemen: Saudia inafanya juhudi za kuanzisha mawasiliano na Answarullah

    Yemen: Saudia inafanya juhudi za kuanzisha mawasiliano na Answarullah

    Nov 07, 2019 09:20

    Mshauri wa Baraza Kuu la Kisiasa nchini Yemen anayehusika na masuala ya kidiplomasia ameelezea juhudi zinazofanywa na Saudia kwa ajili ya kuanzisha uhusiano na harakati ya wananchi ya Answarullah ya nchi hiyo.

  • Ansarullah: Chaguo la kijeshi haliwezi kuleta amani Yemen na katika eneo

    Ansarullah: Chaguo la kijeshi haliwezi kuleta amani Yemen na katika eneo

    Oct 29, 2019 03:51

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameonya kuhusu uvamizi na mashambulizi yanayofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, chaguo la kijeshi katu haliwezi kurejesha amani nchini Yemen na katika eneo.

  • Ansarullah yaonya askari wa Marekani walioko Saudia; jifunzeni kwa Vietnam

    Ansarullah yaonya askari wa Marekani walioko Saudia; jifunzeni kwa Vietnam

    Oct 13, 2019 04:32

    Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen, Muhammad Ali al-Houthi ameitaka Marekani ijifunze kutokana na vita vilivyojiri huko Vietnam kuanzia mwaka 1954-1975 na kuisababisha Marekani maafa na hasara kubwa.

  • Harakati ya Ansarullah yawaachia huru mateka 350 wa vita vya Yemen

    Harakati ya Ansarullah yawaachia huru mateka 350 wa vita vya Yemen

    Sep 30, 2019 09:24

    Kamati ya mateka ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa, harakati hiyo imewaachia huru mateka 350 wakiwemo mateka watatu raia wa Saudi Arabia ikiwa ni katika kutekeleza makubaliano ya amani ya Stockholm.

  • Nchi nane za dunia zaunga mkono tangazo la usitishaji vita la Answarullah ya Yemen

    Nchi nane za dunia zaunga mkono tangazo la usitishaji vita la Answarullah ya Yemen

    Sep 28, 2019 04:34

    Wajumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani, Kuwait na Sweden, zimeunga mkono tangazo la usitishaji vita la Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen.

  • Ansarullah: Mashambulizi yajayo dhidi ya Saudia yatakuwa makali zaidi

    Ansarullah: Mashambulizi yajayo dhidi ya Saudia yatakuwa makali zaidi

    Sep 22, 2019 04:08

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeapa kutoa majibu makali zaidi na yanayoumiza dhidi ya Saudi Arabia iwapo muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Aal-Saud hautasitisha uvamizi wake, mzingiro na mauaji dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Abdul-Salam: Damu ya wananchi wa Yemen ni 'nzito' kuliko mafuta ya Saudi Arabia

    Abdul-Salam: Damu ya wananchi wa Yemen ni 'nzito' kuliko mafuta ya Saudi Arabia

    Sep 18, 2019 03:19

    Msemaji wa Harakati ya Wananchi wa Yemen ya Ansarullah ameitaka jamii ya kimataifa kulaani jinai za Saudia Arabia huko Yemen badala ya kuwalaumu Wayameni kwani damu za wananchi hao ni nzito na zenye thamani zaidi kuliko mafuta ya Saudia.

  • Answarullah: Ndege zisizo na rubani zinazoishambulia Saudia, zinatengenezwa Yemen

    Answarullah: Ndege zisizo na rubani zinazoishambulia Saudia, zinatengenezwa Yemen

    Sep 16, 2019 02:56

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen, amesema kuwa ndege zisizo na rubani za jeshi la nchi hiyo, zinatengenezwa na Wayemen ndani ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Moto wa Ansarullah waiteketeza ARAMCO; Saudia yatafuta njia ya kujigandua kwenye urimbo wa kinamasi cha  Yemen

    Moto wa Ansarullah waiteketeza ARAMCO; Saudia yatafuta njia ya kujigandua kwenye urimbo wa kinamasi cha Yemen

    Sep 15, 2019 03:13

    Vituo vya mafuta vya shirika la mafuta la Aramco katika viwanda vya kusafisha mafuta vya Abqaiq na Khurais vilivyoko mashariki ya Saudi Arabia vimeteketezwa na moto mkubwa. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imetangaza kuwa chanzo cha moto huo ni shambulio lililofanywa na ndege zisizo na rubani za droni.

  • Drone za Yemen zashambulia vituo vya mafuta vya shirika la Aramco la Saudia

    Drone za Yemen zashambulia vituo vya mafuta vya shirika la Aramco la Saudia

    Sep 14, 2019 07:01

    Ndege zisizo na rubani za harakati ya Ansarullah ya Yemen zimeshambulia kampuni mbili za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia, Aramco.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS