Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Ubunifu wa Ansarullah wa kuunda jopokazi la mapatano jumuishi ya kitaifa

    Ubunifu wa Ansarullah wa kuunda jopokazi la mapatano jumuishi ya kitaifa

    Aug 29, 2019 23:08

    Mahdi al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ametangaza kuwa, limeundwa jopokazi linalojumuisha shakhsia 20 wa nchi hiyo kwa madhumuni ya kuleta mapatano jumuishi ya kitaifa na kutatua kisiasa mgogoro unaoendelea nchini humo.

  • Al Mashat: Umoja wa Mataifa una nafasi katika vikwazo vya chakula dhidi ya taifa la Yemen

    Al Mashat: Umoja wa Mataifa una nafasi katika vikwazo vya chakula dhidi ya taifa la Yemen

    Aug 22, 2019 01:04

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, Umoja wa Mataifa unachangia katika vikwazo vya kuingizwa chakula nchini Yemen kutokana na hatua yake ya kufungamanisha masuala ya kiuchumi ya nchi hiyo na kukaliwa kwa mabavu mji wa Aden.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama ya Saudia na Imarati ya kuigawanya Yemen

    Kiongozi wa Mapinduzi: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama ya Saudia na Imarati ya kuigawanya Yemen

    Aug 13, 2019 12:44

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Saudi Arabia na Imarati zinataka kuigawanya Yemen; na akasisitiza kwamba: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama hiyo na kuunga mkono Yemen moja, iliyoungana na yenye ardhi yake yote kamili.

  • Viongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Answarullah ya Yemen wakutana Beirut

    Viongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Answarullah ya Yemen wakutana Beirut

    Jul 11, 2019 00:05

    Viongozi kadhaa wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Answarullah ya Yemen wamekutana mjini Beirut, ambapo sambamba na kulaani kongamano la mjini Manama, Bahrain wamesisitizia umuhimu wa kudumishwa umoja na mshikamano wa Wapalestina kwa ajili ya kukabiliana na mradi huo wa Marekani na Israel.

  • Answarullah: Wasudan waondokane na ubeberu wa Saudia na Imarati

    Answarullah: Wasudan waondokane na ubeberu wa Saudia na Imarati

    Jul 09, 2019 22:05

    Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, raia wa Sudan na nchi yao wanatakiwa kuwa huru mbele ya udhibiti wa vibaraka wa Saudia na Imarati.

  • Ansarullah: Mkutano wa Bahrain ni uhaini dhidi ya Wapalestina

    Ansarullah: Mkutano wa Bahrain ni uhaini dhidi ya Wapalestina

    Jun 28, 2019 10:31

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, mkutano wa Marekani uliofanyika siku chache zilizopita katika mji mkuu wa Bahrain, Manama kwa shabaha ya kuzindua Muamala wa Karne ni hujuma ya moja kwa moja na uhaini dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Answarullah: Kuna vita vikubwa vinakuja ndani ya ardhi ya Saudi Arabia

    Answarullah: Kuna vita vikubwa vinakuja ndani ya ardhi ya Saudi Arabia

    Jun 15, 2019 21:48

    Mjumbe mmoja mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Answarullah ya Yemen amesema kuwa, karibuni hivi kutaanza vita vikubwa ndani ya ardhi ya adui Saudi Arabia.

  • Answarullah: Operesheni za droni dhidi ya Saudia na Imarati zitaendelea

    Answarullah: Operesheni za droni dhidi ya Saudia na Imarati zitaendelea

    Jun 15, 2019 00:14

    Mohamed Albakhiti, Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen, amesema kuwa operesheni za kikosi cha anga na ndege zisizo na rubani (droni) zitaendelea hadi pale Saudia na Imarati zitakapohitimisha uvamizi wao.

  • Ansarullah ya Yemen: Jinai mpya Sana'a ni ishara ya kutokuwa na uwezo muungano vamizi wa Saudi Arabia

    Ansarullah ya Yemen: Jinai mpya Sana'a ni ishara ya kutokuwa na uwezo muungano vamizi wa Saudi Arabia

    May 17, 2019 22:54

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amelaani jinai mpya za muungano vamizi wa Saudi Arabia na Imarati huko Sana'a na kusema kuwa, jinai hizo ni ishara ya wazi ya kutokuwa na uwezo muungano huo vamizi.

  • Answarullah: Baadhi ya tawala za Kiarabu zinaharakia kufutwa kadhia ya Palestina

    Answarullah: Baadhi ya tawala za Kiarabu zinaharakia kufutwa kadhia ya Palestina

    Apr 22, 2019 09:03

    Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, baadhi ya tawala za Kiarabu zina pupa ya kutaka kufutwa haraka kadhia ya Palestina, kuliko hata utawala adui wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS