-
Ansarullah yaafiki mpango wa kupeleka askari al Hudaydah
Feb 19, 2019 00:24Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Siasa la Yemen Mahdi al-Mashat amekutana na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo na kutangaza kuwa harakati ya Ansarullah imeafiki mpango wa kutumwa tena askari katika mji wa bandarini wa al Hudaydah.
-
Wayemen waandamana kulaani 'Waarabu Wasaliti'
Feb 17, 2019 10:26Makumi ya maelefu ya watu wa Yemen wameanadamana kote katika nchi hiyo kulaani nchi za Kiarabu ambazo zinatekeleza usaliti kwa kuanzisha mchakato wa kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Waziri wa Ulinzi wa Yemen: Karibuni hivi tutaingia hatua mpya ya mashambulizi dhidi ya Saudia
Jan 22, 2019 23:18Waziri wa Ulinzi wa Yemen, amesema kwamba jeshi na kamati za wananchi nchini humo wameweza kuboresha zana zao za kiulinzi na kwamba katika siku chache zijazo wataingia katika hatua mpya ya mashambulizi.
-
Harakati ya Ansarullah ya Yemen yasisitiza kuheshimu makubaliano ya Stockholm Sweden
Jan 11, 2019 04:37Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameashiria kuheshimu na kufungamana Harakati ya Ansarullah na makubaliano ya ya Stockholm Sweden na kusema kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia unapaswa kuheshimu na kutekeleza makubaliano hayo.
-
Ansarullah: Hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya kusitisha mapigano al Hudaydah
Jan 09, 2019 03:33Afisa Uhusiano wa Nje wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, hakuna hatua yoyote ya kivitendo iliyochukuliwa kwa ajili ya kutekeleza mapatano ya kusitisha mapigano katika mji wa bandari wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen na kubadlishana mateka kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa mjini Stockholm, Sweden.
-
Ansarullah ya Yemen: Tunaheshimu mazungumzo ya Stockholm
Jan 07, 2019 00:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa harakati ya Ansarullah ya nchini humo inaheshimu na kutekeleza makubaliano ya kusitisha uhasama na mapigano yaliyofikiwa huko Stockholm nchini Sweden.
-
Al Houthi aituhumu WFP kwa kununua chakula kibovu kwa ajili ya watu wa Yemen
Jan 01, 2019 11:40Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelituhumu Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuwa limenunua bidhaa za chakula kilichoharibika kwa ajili ya wananchi wa Yemen.
-
Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden
Dec 18, 2018 07:57Baada ya kupita siku tano tangu kufikiwa makubaliano baina ya makundi ya Yemen, Saudi Arabia imeendelea kukiuka makubaliano hayo.
-
Al Houthi: Tarehe ya kusimamishwa vita al Hudaydah Yemen imeshajulikana
Dec 16, 2018 04:04Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ameukabidhi ujumbe wa San'a unaoshiriki kwenye mazungumzo ya amani ya nchi hiyo huko Sweden, tarehe ya kusimamisha vita katika mkoa wa al Hudaydah.
-
Mwakilishi wa Ansarullah: Mazungumzo ya amani Yemen yaidhinishwe na Baraza la Usalama
Dec 07, 2018 04:28Mkuu wa ujumbe wa harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye mazungumzo ya amani yaliyoanza Sweden amesema kuwa matokeo ya mazungumzo hayo yanapasa kupasishwa kama azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa na kuwa sheria inayopaswa kutekelezwa.