Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Msemaji wa Ansarullah: Tutaigeuza Yemen kuwa 'makaburi' ya wavamizi

    Msemaji wa Ansarullah: Tutaigeuza Yemen kuwa 'makaburi' ya wavamizi

    Nov 11, 2018 04:25

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamesimama kidete na kwa mara nyingine tena wamethibitisha kwamba, Yemen ni 'makaburi' ya wavamizi.

  • 'Njama dhidi ya Yemen zinatekelezwa na Marekani, Saudi Arabia na UAE'

    'Njama dhidi ya Yemen zinatekelezwa na Marekani, Saudi Arabia na UAE'

    Nov 07, 2018 13:09

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema hujuma ya kijeshi dhidi ya nchi yake imeshika kasi zaidi baada ya utawala wa Rais Donlad Trump wa Marekani kutaka mazungumzo yafanyike kumaliza vita.

  • Ansarullah yakataa usuluhishi wa Marekani katika jitihada za kutatua mgogoro wa Yemen

    Ansarullah yakataa usuluhishi wa Marekani katika jitihada za kutatua mgogoro wa Yemen

    Oct 31, 2018 12:02

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga pendekezo la Marekani la kufanya juhudi za upatanishi ili kutatua mgogoro wa Yemen na kusema kuwa Washington ni muhusika mkuu katika uvamizi huo wa kijeshi dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia.

  • Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha

    Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha "Muamala wa Karne"

    Sep 14, 2018 19:28

    Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen ni kibiashara inayotumiwa na Marekani ili kuendeleza njama mpya ya Washington na Wazayuni ya "Muamala wa Karne" dhidi ya Palestina.

  • Wizara: Saudi Arabia inakwamisha juhudi za kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Yemen

    Wizara: Saudi Arabia inakwamisha juhudi za kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Yemen

    Sep 06, 2018 09:59

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza katika taarifa yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umeuzuia ujumbe wa Ansarullah kushiriki katika mazungumzo ya amani ya Geneva Uswisi.

  • Majeshi wa majini ya Yemen yalenga meli ya kivita ya Saudia pwani ya Jizan

    Majeshi wa majini ya Yemen yalenga meli ya kivita ya Saudia pwani ya Jizan

    Sep 01, 2018 21:50

    Majeshi ya majini ya Yemen, yakishirikiana na Kamati za Wananchi, yamelenga meli ya kivita ya Saudia katika eneo la mpakani la Jizan kusini magharibi mwa Saudi Arabia.

  • Answarullah: Jinai za Saudia nchini Yemen zimeifedhehesha UN na asasi za kimataifa

    Answarullah: Jinai za Saudia nchini Yemen zimeifedhehesha UN na asasi za kimataifa

    Aug 24, 2018 03:44

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani vikali shambulizi la kinyama la ndege za muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Al-Hudaydah na kusema kuwa hujuma hizo zimezifedhehesha mno asasi za kimataifa pamoja na Umoja wa Mataifa kutokana na udhaifu wake.

  • Answarullah: Magaidi ni jeshi la pili la Saudi Arabia

    Answarullah: Magaidi ni jeshi la pili la Saudi Arabia

    Aug 17, 2018 23:55

    Muhammad Ali al Houthi, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani taarifa ya kutangazwa uungaji mkono wa kifedha wa Saudia kwa muungano wa kimataifa wa kijeshi wa eti kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani nchini Syria na kusema, magaidi ni jeshi la pili la Riyadh.

  • Ansarullah yalaani kufukuzwa balozi wa Canada nchini Saudia, yamkaribisha Yemen

    Ansarullah yalaani kufukuzwa balozi wa Canada nchini Saudia, yamkaribisha Yemen

    Aug 06, 2018 03:36

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani kitendo cha Saudi Arabia cha kumfukuza balozi wa Canada mjini Riyadh na kuitaka Ottawa kufungua ubalozi wake San'a, mji mkuu wa Yemen.

  • Ansarullah: Tutaigeuza miji ya pwani ya magharibi mwa Yemen kuwa makaburi ya wavamizi

    Ansarullah: Tutaigeuza miji ya pwani ya magharibi mwa Yemen kuwa makaburi ya wavamizi

    Aug 05, 2018 03:38

    Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa, harakati hiyo itaigeuza miji ya pwani ya magharibi mwa nchi hiyo kuwa makaburi ya vikosi vamizi vinavyoongozwa na Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS