-
Polisi Nigeria wawashambulia kwa risasi Waislamu katika maombolezo ya Ashura
Sep 22, 2018 03:11Polisi nchini Nigeria wamewafyatulia risasi Waislamu waliokuwa katika maomboleza ya ashura na kujeruhi baadhi yao.
-
Fikra ya Ashura ya watu wa Yemen, ngome imara dhidi ya maadui
Sep 21, 2018 13:17Jana Alkhamisi maelfu ya watu wa Yemen walijitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya Siku ya Ashura katika miji ya Sanaa na Sa'da na kwa mara nyingine tena kusisitiza juu ya udharura wa kusimama imara mbele ya wavamizi na wachokozi.
-
Ashura ya Imam Hussein (as) yautia hofu na kiwewe utawala wa Aal Khalifa, Bahrain
Sep 21, 2018 07:46Mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini Bahrain amesema, hatua za utawala wa Aal Khalifa za kuwakandamiza wananchi na maulamaa ni ishara ya hofu uliyonayo kutokana na mapambano ya Ashura na taathira yake kwa wananchi wanaoupinga utawala huo.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Wayemeni katu hawatasalimu amri kwa adui
Sep 21, 2018 07:29Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik Badruddin amesema: Licha ya mauaji na jinai zote anazozifanya adui, hatoweza katu kuifanya Yemen isalimu amri.
-
Waombolezaji Iran, duniani wajitokeza kwa wingi kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS
Sep 20, 2018 07:35Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbali mbali duniani wamejotokeza kwa mamilioni katika Siku ya Ashura kukumbuka siku alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS
Sep 20, 2018 03:53Alkhamisi ya leo ya tarehe 20 Septemba 2018 Milaadia inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1440 Hijria, siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Husain AS.
-
Udharura wa kumtambua adui, msingi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah mchana wa Ashura
Oct 02, 2017 12:22Akiwahutubia waombolezaji wa kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein (as) mchana wa siku ya Ashura kupitia njia ya video, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitizia umuhimu wa kumtabua adui.
-
Zaidi ya waombolezaji milioni mbili wameshiriki kwenye maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS Karbala
Oct 02, 2017 04:28Maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS yamefanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ambapo kwa mujibu wa maafisa wa mji huo idadi ya wafanya ziara walioshiriki kwenye maombolezo ya mwaka huu imepindukia watu milioni mbili.
-
Leo ni siku ya Ashura, Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran inatoa mkono wa pole kwa wapenzi wote wa Mtume Muhammad SAW
Oct 01, 2017 04:01Jumapili ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Husain AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.
-
Utawala wa Aal Khalifa walaaniwa kwa kuhujumu madhihirisho ya Ashura nchini Bahrain
Sep 24, 2017 07:23Jumuiya ya Kiislamu ya Maelewano ya Kitaifa ya Bahrain (Al Wefaq) imelaani hatua ya vikosi vya usalama ya kuhujumu madhihirisho ya Ashura na kuendelea kuzingirwa nyumba ya mwanazuoni wa Kiislamu Sheikh Issa Qassim.