Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ashura

  • Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS

    Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS

    Oct 13, 2016 04:39

    Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.

  • Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan

    Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan

    Oct 13, 2016 01:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamejumuika kwa ajili ya maombolezo ya Ashura, katika miji ya Kaduna na Funtua nchini Nigeria hapo jana.

  • Mripuko wa bomu katika maombolezo ya Ashura waua makumi ya watu Afghanistan

    Mripuko wa bomu katika maombolezo ya Ashura waua makumi ya watu Afghanistan

    Oct 12, 2016 23:17

    Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea kwenye mkusanyiko wa maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein (as) katika jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan.

  • Magaidi washambulia msikiti Kabul na kuua makumi usiku wa Tasua

    Magaidi washambulia msikiti Kabul na kuua makumi usiku wa Tasua

    Oct 12, 2016 04:23

    Kundi moja la kigaidi na kitakfiri nchini Afghanistan limefanya shambulizi la pili dhidi ya Waislamu wa madhebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini wakifanya maombelezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS.

  • Rouhani: Utamaduni wa Ashura unaweza kuimarisha uthabiti Asia

    Rouhani: Utamaduni wa Ashura unaweza kuimarisha uthabiti Asia

    Oct 12, 2016 04:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo utamaduni wa kuadhimisha kumbukumbu ya Ashura, siku aliyouawa shahidi Imam Hussein AS, Mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW utafuatwa kwa dhati, usalama na uthabiti utarejea katika bara la Asia na ulimwengu wa Kiislamu.

  • Waislamu duniani wakumbuka kuuawa Shahidi Imam Hussein AS

    Waislamu duniani wakumbuka kuuawa Shahidi Imam Hussein AS

    Oct 11, 2016 23:40

    Leo Jumatano inasadifiana na tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram, siku ya Ashura ya mapambano ya Imam Husain AS huko Karbala. Maombolezo ya kukumbuka siku hiyo ya majonzi yanawashirikisha Waislamu na hata wasiokuwa Waislamu kote duniani.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS