-
Kiongozi Muadhamu: Chuo Kikuu cha Kidini cha Qum kinapaswa kutatua matatizo
Jan 27, 2019 12:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, kujibu maswali na mahitajio ya kifikra ya vijana, wanafunzi na makundi yenye taathira katika jamii ni kati ya majukumu ya Idara ya Kuutangaza Uislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kasi ya harakati ya sayansi na teknolojia Iran
Jan 24, 2019 03:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano asubuhi mjini Tehran katika mkutano na wakuu pamoja na watafiti wa Taasisi ya Utambuzi wa Taaluma za Sayansi na Teknolojia (ICSS), Waziri wa Elimu na pia wakuu na wahadhiri wa vyuo vikuu husika alisistiza kuwa, taifa lolote linalobaki nyuma katika taaluma mpya na teknolojia zinazohusiana na taaluma hizo halitakuwa na hatima nyingine ghairi ya kubaki nyuma kimaendeleo, kudhalilishwa na kukoloniwa na madola yenye nguvu.
-
Kiongozi Muadhamu: Bishara za ushindi mkubwa zimeonekana wakati Wapalestina walipoipigisha magoti Israel masaa 48 tu
Dec 31, 2018 11:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi kisicho mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi wa mwisho.
-
Uwezo wa Jeshi la Majini la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 29, 2018 03:45Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran jana alikutana na makamanda na wakuu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kumepatikana mafanikio makubwa katika Jeshi la Iran hasa jeshi la majini tokea mwanzo wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa.
-
Kiongozi Muadhamu: Tunapaswa kuimarisha ulinzi usiohisika katika kukabiliana na vitisho vya maadui
Oct 28, 2018 12:45Mkuu na maafisa wa Taasisi ya Ulinzi Usiohisika (Passive Defense) ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa uwezo wa majeshi ya Iran katika kukabiliana na adui
Sep 10, 2018 02:23Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika mahafali ya pamoja ya kuhitimu na kuapishwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya maafisa wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuashiria sera za shari na kiistikbari za kuibua machafuko na ukosefu wa usalama na kusisitiza kuwa:
-
Kiongozi: Lengo la adui katika vita vya vyombo vya habari ni kuwafadhaisha na kuwakatisha tamaa wananchi
Sep 06, 2018 10:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema, jukumu muhimu zaidi walilonalo wananchi na wenye vipawa katika hali nyeti na hasasi ya hivi sasa ni kupiga hatua mbele katika kudumisha na kuimarisha mshikamano baina ya wananchi na vyombo vya serikali na kujiepusha na kujenga mazingira ya kupoteza matumaini na kukatisha tamaa na kuhisi kwamba kuna mkwamo.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu Kuhusu matakwa ya taifa la Iran kwa wale wanaodai kutetea haki za binadamu
Jun 28, 2018 08:33Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na wakuu wa vyombo vya mahakama alisema: "Katika suala la haki za binadamu, Jamhuri ya Kiislamu ina matakwa na majibu inayotaka kutoka kwa Wamagharibi watenda jinai wanaodai kutetea haki za binadamu."
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha
Jun 20, 2018 12:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ambayo imebalehe na kukomaa inapaswa kutenda kwa kujitegemea katika kutunga sheria za masuala kama kupambana na ugaidi na mapambano dhidi ya utakatishaji wa fedha chafu.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu undumakuwili wa nchi za Magharibi
Jun 11, 2018 06:07Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili katika mkutano wake na mamia ya wahadhiri wa vyuo vikuu na wasomi kutoka taasisi mbali mbali za utafiti nchini alibainisha nafasi ya juu ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kimataifa.