Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahari ya Oman

  • Iran kujenga bandari kubwa zaidi ya kibiashara katika Bahari ya Oman

    Iran kujenga bandari kubwa zaidi ya kibiashara katika Bahari ya Oman

    Mar 07, 2021 04:31

    Mkurugenzi Mwandamizi wa Shirika la Bandari na Ubaharia la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kujengwa bandari kubwa zaidi ya kibiashara ya Iran katika Bahari ya Oman na katika eneo la Kuhe Mubarak katika wilaya ya Jask katika mkoa wa Hormozgan, kusini mwa nchi.

  • Russia yasisitiza kupuuzwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Russia yasisitiza kupuuzwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Jun 17, 2019 00:21

    Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov ametoa radiamali kufuatia tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, Moscow haizipi umuhimu tuhuma kwamba Tehran ilihusika na tukio la kushambuliwa meli katika Bahari ya Oman.

  • Larijani: Mashambulizi yaliyojaa utata dhidi ya meli za mafuta Bahari ya Oman ni ukamilishaji wa vikwazo dhidi ya Iran

    Larijani: Mashambulizi yaliyojaa utata dhidi ya meli za mafuta Bahari ya Oman ni ukamilishaji wa vikwazo dhidi ya Iran

    Jun 16, 2019 07:57

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Marekani hivi sasa imesakamwa na kipengee cha kisiasa cha kutoona haya na kukosa heshima ambacho kinaifanya isizingatie matokeo ya matamshi yake.

  • Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi

    Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi

    Jun 15, 2019 21:46

    Marekani katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump imeanzisha jitihada za kuasisi muungano na kuimarisha uwepo wake katika eneo la Asia magharibi hususan katika Ghuba ya Uajemi kwa kisingizio cha eti kuwepo vitisho kutoka kwa Iran.

  • Sanders na Corbyn: Shambulio la Bahari ya Oman lisitumike kuanzisha vita

    Sanders na Corbyn: Shambulio la Bahari ya Oman lisitumike kuanzisha vita

    Jun 15, 2019 06:24

    Viongozi mashuhuri wa kisiasa nchini Marekani na Uingereza wameionya vikali serikali ya Washington, dhidi ya kutumia tukio la kushambuliwa meli za mafuta katika Bahari ya Oman kama kisingizio cha kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo

    Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo

    Jun 15, 2019 00:11

    Gazeti la Al-Quds Al-Arabi linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa, baadhi ya pande katika eneo la Asia Magharibi hususan Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel, zinahusika kushadidisha migogoro katika eneo.

  • Jamhuri ya Kiislamu yataka kuwekwa wazi kiundani tukio la bandari ya Fujairah nchini Imarati

    Jamhuri ya Kiislamu yataka kuwekwa wazi kiundani tukio la bandari ya Fujairah nchini Imarati

    May 13, 2019 09:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran imesikitishwa na matukio ya jana Jumapili yaliyotokea dhidi ya meli kadhaa za mafuta katika Bahari ya Oman katika eneo la Umoja wa Falme za Kiarabu na imetaka kuwekwa wazi na kwa kina uhakika wa matukio hayo.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS