-
Rais Assad alipongeza jeshi la Syria kwa kuukomboa mji wa Palmyra
Mar 27, 2016 14:34Rais Bashar al-Assad wa Syria amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuukomboa mji wa kihistoria wa Palmyra kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Assad ataka Waislamu waungane dhidi ya ugaidi
Mar 21, 2016 16:13Rais Bashar al Assad wa Syria amewataka Waislamu wote duniani kuwa kitu kimoja na kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi unaotishia eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla. Rais Assad ameyatamka hayo katika mkutano wa wanachama wa sekretariati kuu ya Kiarabu na Jukwaa la Kiislamu kwa ajili ya kuunga mkono muqawama uliofanyika mjini Damascus Syria.
-
Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria
Mar 15, 2016 07:07Ofisi ya Rais wa Syria imetangaza kuwa marais wa Russia na Syria wamekubaliana kupunguzwa idadi ya vituo vya anga vya vya jeshi la Russia nchini humo.
-
Assad: Azma ya Saudia na Uturuki kuivamia Syria ilianza miaka 2 iliyopita
Feb 16, 2016 07:48Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema mpango wa Saudi Arabia na Uturuki kutaka kuingia kijeshi nchini Syria ulianza miaka miwili iliyopita.
-
Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria
Feb 15, 2016 03:08Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.
-
Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria
Feb 15, 2016 03:08Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.
-
Rais Bashar al-Assad asisitiza kukombolewa ardhi yote ya Syria kutoka kwenye uvamizi wa magaidi
Feb 13, 2016 03:23Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kuwa operesheni za jeshi na vikosi vya wananchi zitaendelea hadi kuhakikisha maeneo yote ya ardhi ya Syria yamekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi.