Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bashar al Assad

  • Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria

    Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria

    Mar 11, 2019 08:16

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, vita dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu vimechukua mkondo mpya ambapo sasa vimeelekezwa katika mzingiro na vita vya kiuchumi.

  • Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria

    Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria

    Dec 24, 2018 02:50

    Mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais wa Syria amesema kuhusu hatua ya wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini humo kwamba: Wamarekani wamekimbia, kwa sababu sisi tumesimama imara.

  • Maelfu ya wakazi wa Daraa, Syria waandamana kumuunga mkono Rais Bashar al Assad

    Maelfu ya wakazi wa Daraa, Syria waandamana kumuunga mkono Rais Bashar al Assad

    Nov 16, 2018 07:48

    Maelafu ya wakazi wa jimbo la Daraa, kusini magharibi mwa Syria wamefanya maandamano makubwa wakimuunga mkono Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo.

  • Rais Assad wa Syria: Kipaumbele cha kwanza cha serikali ni kuwakomboa mateka

    Rais Assad wa Syria: Kipaumbele cha kwanza cha serikali ni kuwakomboa mateka

    Nov 15, 2018 03:31

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema, kipaumbele cha kwanza cha serikali ya nchi hiyo ni kuwakomboa mateka wote waliotekwa nyara na magaidi.

  • Rais wa Syria: Ushindi wa Idlib utasambaratisha mpango wa

    Rais wa Syria: Ushindi wa Idlib utasambaratisha mpango wa "Muamala wa Karne"

    Oct 08, 2018 07:44

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuhusiana na makelele yanayofanywa na madola ya Magharibi kabla ya kuanza operesheni ya kuukomboa mkoa wa Idlib, kwamba kukombolewa mkoa huo kutafelisha mipango ya Marekani katika Mashariki ya Kati.

  • Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria

    Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria

    Oct 03, 2018 13:47

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muda si mrefu vita ilivyotwishwa nchi hiyo vitamalizika na nchi hiyo kuwa na nafasi kama iliyokuwa nayo hapo awali katika ulimwengu wa Kiarabu.

  • Rais al Assad: Siasa za Marekani ni za kutoa vitisho, kuweka vikwazo na kuunga mkono ugaidi

    Rais al Assad: Siasa za Marekani ni za kutoa vitisho, kuweka vikwazo na kuunga mkono ugaidi

    Sep 06, 2018 02:57

    Akizungumza na Seneta wa jimbo la Marekani huko Damascus mji mkuu wa Syria, Rais wa Syria Bashar al Assad amesema kuwa hatua ya kutekeleza siasa za vitisho, kuweka vikwazo na kuunga mkono ugaidi ni moja ya sifa kuu za Marekani.

  • Zarif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Syria mjini Damascus

    Zarif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Syria mjini Damascus

    Sep 04, 2018 03:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus na kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali ya pande mbili na ya kieneo.

  • Kufikiwa makubaliano kati ya serikali ya Bashar al Assad na wapiganaji wa Kikurdi

    Kufikiwa makubaliano kati ya serikali ya Bashar al Assad na wapiganaji wa Kikurdi

    Jul 30, 2018 04:41

    Mazungumzo kati ya serikali ya Rais Bashar al Assad wa Syria na wapiganaji wa Kikurdi wa nchi hiyo yamezaa matunda.

  • Rais al-Assad wa Syria na mkewe wazitembelea familia za mashahidi wa vita

    Rais al-Assad wa Syria na mkewe wazitembelea familia za mashahidi wa vita

    Jul 22, 2018 03:26

    Rais Bashar al-Assad wa Syria pamoja na mke wake wametembelea familia za mashahidi na majeruhi wa vita wanaoishi katika kambi ya Abenau Nasr, katika kijiji cha al-Zainat cha mji wa Masyaf, magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS