Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bashar al Assad

  • Rais Bashar al-Assad: Uhusiano wa Syria na Iran utaendelea katika kiwango bora kabisa

    Rais Bashar al-Assad: Uhusiano wa Syria na Iran utaendelea katika kiwango bora kabisa

    Jul 16, 2018 07:42

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, licha yya vitisho vya ndani na vya nje mwenendo wa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu umo katika hali ya kukamilika na utaendelea kuweko tena katika kiwango bora kabisa.

  • Assad: Kufanya mazungumzo na Marekani ni kupoteza wakati

    Assad: Kufanya mazungumzo na Marekani ni kupoteza wakati

    Jun 23, 2018 13:57

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema ni kupoteza wakati kufanya mazungumzo na utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mgogoro katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Tamko la kinagaubaga la Assad; uhusiano wa Iran na Syria haurubuniki

    Tamko la kinagaubaga la Assad; uhusiano wa Iran na Syria haurubuniki

    Jun 16, 2018 02:58

    Rais wa Syria amesema kuhusu pendekezo la Saudi Arabia la kuirubuni nchi hiyo ivunje uhusiano wake na Iran na kuwa tayari kuipatia hongo serikali ya Damascus kwamba: "Si Syria wala si Iran ambayo inatangaza mnada kuhusu uhusiano huu katika soko la kisiasa la kimataifa hata pahitajike mahali pa kufanyia muamala huo."

  • Assad: Vikosi vya Israel na Uturuki vilivyoko Syria ni vamizi

    Assad: Vikosi vya Israel na Uturuki vilivyoko Syria ni vamizi

    Jun 14, 2018 07:56

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, Uturuki, Marekani na Ufaransa vilivyoko nchi humo ni vikosi vamizi.

  • Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria

    Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria

    Jun 02, 2018 03:55

    Akizungumza hapo siku ya Alkhamisi na televisheni ya Rusia al-Yaum, Rais Bashar Asad wa Syria ameashiria nafasi hasi na ya kichochezi ya Marekani katika mgogoro wa nchi hiyo na kutaka askari wake waondoke mara moja katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani lazima tutawatimua Syria

    Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani lazima tutawatimua Syria

    May 31, 2018 14:45

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, Wamarekani lazima watoke Syria na wanapaswa kupata funzo kutokana na yaliyowafika nchini Iraq

  • Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe

    Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe

    May 31, 2018 07:32

    Rais Bashar Al-Assad wa Syria amesema kuhusu lugha ya matusi aliyotumia rais wa Marekani kuhusiana na yeye kwamba: Maneno hayo yanadhihirisha shakhsia ya Trump; na ni mtu wa aina yake yeye tu ndiye anayetarajiwa kutumia lugha ya aina hiyo.

  • Ehud Yaari akiri kwamba Israel imeshindwa kuiondoa madarakani serikali ya Rais Bashar Assad, Syria

    Ehud Yaari akiri kwamba Israel imeshindwa kuiondoa madarakani serikali ya Rais Bashar Assad, Syria

    May 31, 2018 03:41

    Ehud Yaari, mchambuzi maarufu wa Kizayuni wa masuala ya nchi za Kiarabu amekiri kupitia kanali ya televisheni namba mbili ya utawala wa Kizayuni kuwa njama zote za Tel za kuiondoa madarakani serikali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria zimegonga mwamba.

  • Rais Assad: Kazi pekee ya Marekani Syria ni kuwasaidia magaidi wa ISIS

    Rais Assad: Kazi pekee ya Marekani Syria ni kuwasaidia magaidi wa ISIS

    May 11, 2018 03:48

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kazi pekee ya Marekani nchini Syria ni kuwasaidia magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh.

  • Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lateua wajumbe wake wapya

    Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lateua wajumbe wake wapya

    Apr 30, 2018 14:12

    Mahdi al Mashat amewateuwa wajumbe 32 wapya wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen katika hatua yake ya kwanza kama mkuu mpya wa baraza hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS