-
Rais Assad arejesha nishani aliyopewa na 'Mtumwa wa Marekani'
Apr 20, 2018 07:24Rais Bashar al Assad wa Syria amerejesha nishani bora zaidi ya Ufaransa aliyotunukiwa na Rais Jacques Chirac mwaka 2001 na kusema hawezi kubakia na zawadi ya nchi ambayo ni mtumwa wa Marekani na ambayo imedondosha mabomu Syria.
-
Rouhani: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni uungaji mkono wa ugaidi
Apr 14, 2018 17:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Iran ni hatua iliyochukuliwa kuimarisha ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Assad: Kila mara Muqawama unapopata ushindi Wamagharibi wanapiga makelele
Apr 12, 2018 14:49Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa nchi za Magharibi zimekuwa zikizusha makelele kila mara muqawama na mapambano dhidi ya magaidi na washirika wao yanapopata ushindi na mafanikio.
-
Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria
Mar 05, 2018 08:11Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muungano wa kimataifa unaodaiwa kuwa 'dhidi ya Daesh' chini ya uongozi wa Marekani, kwa sasa umegeuka na kuwa kikosi cha anga cha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria.
-
Russia yaponda madai ya Marekani dhidi ya Syria
Feb 04, 2018 02:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai ya Marekani kwamba Syria imetengeneza na kutumia kizazi kipya cha silaha za kemikali na kusema madai hayo hayana msingi wowote.
-
Assad: Syria itaendeleza vita dhidi ya ugaidi kwa msaada wa Iran
Jan 28, 2018 04:43Rais Bashar al Assad wa Syria ameashiria mafanikio ya jeshi la nchi iyo katika vita dhidi ya magaidi na kusema: "Watu wa Syria wataendeleza vita dhidi ya ugaidi kwa msaada wa marafiki hasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia"
-
Rais Assad aishukuru Iran kwa msaada wake kwa Syria
Jan 22, 2018 03:03Rais wa Syria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uungaji mkono wake kwa taifa la Syria na kusema: "Istikama ya wanajeshi Wairani na waitifaki wao katika medani ya vita ni jambo ambalo limetoa mchango mkubwa katika ushindi wa jeshi na taifa la Syria."
-
Rais Assad: Matatizo ya Waarabu yanasababishwa na fikra potovu
Jan 16, 2018 04:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, matatizo yanayoukumba ulimwengu wa Kiarabu yanatokana na fikra potovu na kwamba madamu tatizo hilo halijatatuliwa, basi bado migogoro na vita vitaendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Assad: Njama za adui za kuigawa Syria zimegonga mwamba
Jan 13, 2018 03:45Rais wa Syria ameeleza kuwa ushindi wa jeshi la nchi hiyo umepelekea kuandaliwa njia ya kurejesha amani nchini humo.
-
Rais Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na Syria katika vita dhidi ya ugaidi
Nov 26, 2017 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa vita dhidi ya makundi ya kigaidi na kusema kuwa, Iran itaendelea kuwa pamoja na wananchi na serikali ya Syria katika vita dhidi ya ugaidi.