-
Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi
Nov 21, 2017 08:08Rais Vladimir Putin wa Russia amempongeza Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia ushindi mkubwa wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi.
-
Assad akosoa uingiliaji wa baadhi ya nchi za Kiarabu katika masuala ya nchi nyingine
Nov 16, 2017 15:46Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa sera za baadhi ya nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Nchi hizo za kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine zimezidisha migogoro ya eneo la Mashariki ya Kati na kuzichochea nchi nyingine.
-
Rais Assad: Mabadiliko ya eneo na kimataifa yanathibitisha kuwa siasa za Syria zilikuwa sahihi
Nov 16, 2017 07:50Rais Bashar Al-Assad wa Syria amesema matukio na mabadiliko yanayojiri katika eneo na kimataifa yanathibitisha kuwa siasa za Damascus tangu vilipoanzishwa vita dhidi ya nchi hiyo zilikuwa sahihi.
-
Ujerumani: Tulitamani kumpindua Bashar al Assad lakini tumeshindwa vibaya
Sep 26, 2017 08:15Balozi wa Ujerumani mjini Washington, Marekani sambamba na kukiri kwamba nchi za Magharibi zinawasaidia magaidi kufanya jinai nchini Syria, amesema kwamba, tulikuwa na hamu kubwa ya kuipindua serikali ya Bashar al Assad lakini tumeshindhwa vibaya sana.
-
Rais al-Assad: Mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria
Sep 24, 2017 03:32Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, akthari ya mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria, lakini tawala za Warabu zinawaunga mkono magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Damascus.
-
Kikao cha Waziri wa Ulinzi wa Russia na Rais Bashar al-Assad wa Syria
Sep 14, 2017 03:53Jumanne iliyopita Sergey Shoygu, Waziri wa Ulinzi wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria anaendelea kupata mafanikio
Aug 31, 2017 08:08Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria na washirika wake, atakuwa amedhibiti maeneo yote ya taifa hilo kufikia mwishoni mwa mwaka kesho 2018.
-
Bashar al Assad: Maadui wataendelea kupata kipigo
Aug 28, 2017 04:00Rais wa Syria amesema kuwa maadui wataendelea kupata kipigo madhali irada ya muqawama inaendelea kuwepo katika nyoyo na nafsi za vijana wa Syria.
-
Rais wa Syria: Tumezishinda njama za madola ya Magharibi
Aug 21, 2017 02:31Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa pamoja na kwamba taifa la Syria limepata hasara kubwa katika vita vya kupambana na ugaidi, lakini njama za madola ya Magharibi zimefelishwa nchini humo.
-
Baadhi ya duru za habari: Saudia imebadili ghafla msimamo wake kuhusu Syria
Aug 06, 2017 16:23Kanali ya televisheni ya Al-Alam imeinukuu televisheni ya Russia Al-Yaum ikitangaza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Adel al-Jubeir amebadili ghafla msimamo kuhusu Rais Bashar Al-Assad wa Syria.