-
Rais Bashar al-Assad: Uelewa wa mataifa ya Kiarabu ni sababu ya umoja
Aug 01, 2017 13:05Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, raia wa mataifa ya Kiarabu wamethibitisha kuwa, wana kiwango cha hali ya juu cha uelewa kuhusu matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba suala hilo linatakiwa liwe kivutio kwa ajili ya umoja wa mataifa yote.
-
Bashar Assad: Syria inakabiliwa na ugaidi hatari
Aug 01, 2017 07:50Rais wa Syria amesema kuwa, nchi hiyo inakabiliwa na ugaidi ambao hauna kifani katika historia ya sasa katika upande wa ukubwa wake, chuki na ukatili wake.
-
Rais Bashar al-Assad: Umoja na mshikamano ndio umeshinda fikra za ukufurishaji nchini Syria
Jul 10, 2017 04:13Rais Bashar al-Assad wa Syria amekutana na shakhsia mbalimbali na wawakilishi wa asasi za kiraia mjini Hama na kusema kuwa, uelewa wa Wasyria umezuia kupenya fikra ghalati za uchupaji mipaka na ukufurishaji nchini humo.
-
Al-Assad: Wasyria wamewashinda magaidi kwa umoja na mshikamano
Jul 05, 2017 04:06Rais Bashara al-Assad wa Syria amesema kuwa, Wasyria wameweza kuyashinda makundi ya kigaidi yanayowakufurisha Waislamu kwa umoja na mshikamano wao.
-
Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Jun 29, 2017 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa ni lazima kushirikiana na serikali ya Rais Bashar Assad wa Syria ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Macron: Si muhimu sasa suala la kuondolewa Assad madarakani huko Syria
Jun 22, 2017 08:03Rais wa Ufaransa amesema kuwa, suala la kuondolewa madarakani Rais Bashar Assad wa Syria halipewi tena kipaumbele kwa ajili ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo katika mtazamo wa Ufaransa.
-
Rais Rouhani: Iran na Syria zinashirikiana kuangamiza ugaidi
Jun 09, 2017 04:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mapambano halisi na ya kweli dhidi ya ugaidi na kurejesha amani ya kudumu katika eneo la Mashaiki ya Kati ni lengo la pamoja la Iran na Syria.
-
Assad: Magaidi wanapata himaya ya Marekani, wanatumia kila mbinu vitani Syria
Apr 23, 2017 03:54Rais Bashar al Assad wa Syria amesema maadui wa taifa la Syria hasa magaidi wakufurishaji wanaopata himaya ya Marekani wanatumia kila mbinu katika vita vyao dhidi ya watu wa Syria.
-
Assad: Nchi za Magharibi zinazuia uchunguzi kuhusu
Apr 21, 2017 07:03Rais Bashar la al-Assad wa Syria anasema nchi za Magharibi zinalenga kuzuia uchunguzi huru kuhusu kile kilichotajwa kuwa ni hujuma ya silaha za kemikali nchini humo hivi karibuni.
-
White House yakiri kushindwa, yasema Bashar Asad aheshimiwe kama Rais wa Syria
Apr 01, 2017 07:45Baada ya magaidi wanaofadhiliwa na Saudi Arabia, Marekani, Israel na washirika wao kushindwa kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House amekiri kwamba kuna ulazima wa kukubali hali halisi ya kisiasa nchini Syria na kumuheshimu Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.