-
Radiamali ya Rais wa Syria juu ya uvamizi wa Marekani na Uturuki dhidi ya ardhi ya nchi yake
Mar 12, 2017 07:03Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, majeshi ya kigeni hususan ya Marekani na Uturuki, yaliyoingia ndani ya ardhi ya nchi hiyo bila idhini ya serikali ya Damascus, yanahesabika kuwa wavamizi.
-
Assad: Wanajeshi wa Marekani, Uturuki wamevamia Syria
Mar 12, 2017 03:00Rais Bashar Assad wa Syria amesema wanajeshi wote wa kigeni waliongia nchini humo bila idhini ya seirikali ya Damascus ni wavamizi.
-
Assad: Ufaransa inabeba dhima ya mauaji ya raia nchini Syria
Feb 18, 2017 02:39Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema hatua ya Ufaransa ya kuyaunga mkono magenge ya kigaidi yanayoendesha harakati dhidi ya vikosi vya serikali ya Damascus na wananchi imechangia moja kwa moja mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Assad: Marekani kudai inapambana na Daesh huko Syria ni njozi
Feb 07, 2017 14:55Rais Bashar al-Assad wa Syria ameutaja muungano wa kijeshi wa Marekani unaodai kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS nchini Syria kuwa ni muungano wa kinjozi na wa kuihadaa dunia.
-
Uingereza yabadili siasa zake kuhusu Syria na Rais Bashar Assad
Jan 27, 2017 03:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amekiri katika Kamati ya Masuala ya Kigeni ya Bunge la nchi hiyo kwamba London imebadili siasa zake kuhusiana na Syria.
-
Rais Bashar al-Assad: Iran ni muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria
Jan 26, 2017 13:35Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, Iran imekuwa muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria katika kipindi chote cha mgogoro wa nchi hiyo uliodumu kwa miaka sita sasa.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Tunisia kuelekea Syria kwenda kumwomba radhi Rais Assad
Dec 26, 2016 16:17Ujumbe wa viongozi wa vyama vya siasa vya Tunisia unatazamiwa kuelekea nchini Syria kwa madhumuni ya kwenda kumwomba radhi Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Bashar Assad asisitiza kushindwa njama za Magharibi huko Syria na katika eneo
Dec 08, 2016 11:17Akizungumza katika mahojiano na gazeti la Al Watan, Rais wa Syria amesema kuwa Halab au kwa jina jingine Aleppo ndilo tumaini la mwisho la magaidi nchini humo baada ya kushindwa kwao huko Damascus na Homs na kwamba kukombolewa kikamilifu mji huo kutabadili mwenendo wa vita huko Syria.
-
Rais Assad atilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Russia kwa Syria
Nov 22, 2016 16:34Rais Bashar al-Assad wa Syria ametilia mkazo uungaji mkono wa Russia kwa nchi yake katika nyanja tofauti hususan ya kiuchumi kwa ajili ya kupunguza machungu na mateso yanayowakabili wananchi wa Syria.
-
Rais Assad: Sina imani na Trump lakini akiwa na nia ya kweli ya kupambana na ugaidi, Syria itashirikiana naye
Nov 17, 2016 04:43Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, ikiwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani atapambana kwa dhati na magaidi, basi serikali yake itashirikiana naye.