-
Assad: Mashambulizi ya Aleppo yanalenga kuwapa usalama raia
Oct 19, 2016 15:23Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwaangamiza magaidi katika mji wa Aleppo, kaskazini magharibi mwa nchi ndio chagua la pekee na la kisheria la kuwadhaminia usalama raia.
-
Kuridhishwa De Mistura na usitishaji vita; mustakabali wa Assad uko mikononi mwa wananchi wa Syria
Sep 16, 2016 14:09Staffan de Mistura, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema lengo la makubaliano baina ya Marekani na Russia ya kusitishwa vita nchini Syria ni kuwezesha kufikishwa na misaada kwa raia wa nchi hiyo.
-
Assad akosoa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi
Aug 05, 2016 04:20Rais wa Syria amesema kuwa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa suala la ugaidi ndiyo sababu ya machafuko na kuwepo ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla.
-
Assad: Wamagharibi hawawezi kuvumilia uhuru wa Syria
Jul 27, 2016 07:39Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema nchi za Magharibi zimeshindwa kuvumilia uhuru wa kujitawala Syria na ndiposa zikaanza kuunga mkono harakati za kigaidi nchini humo.
-
Assad: Huenda Erdogan atatumia 'mapinduzi' kuwaondoa maadui serikalini
Jul 18, 2016 07:35Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema huenda Rais Reccep Teyyip Erdogan wa Uturuki akatumia jaribio la mapinduzi yaliyofeli kuwaadhibu na kuwaondoa serikalini wakosoaji na wapinzani wake.
-
Assad: Nitakumbukwa kama muokozi wa uhuru wa Syria
Jul 14, 2016 15:52Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kwamba, anataraji kuwa historia itamkumbuka kama kiongozi aliyesimama kidete kutetea uhuru wa kujitawala nchi yake mbele ya chokochoko za mabeberu.
-
Assad: Mgororo wa Syria utatatuliwa kwa mazungumzo sambamba na kupambana na ugaidi
Jul 03, 2016 02:26Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa, haiwezekani kupatikana njia ya ufumbuzi halisi wa mgogoro wa nchi hiyo bila ya kuwepo mapambano ya kweli dhidi ya ugaidi.
-
Rais wa Syria: Magharibi inataka urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia
May 19, 2016 15:52Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema inachotaka Magharibi ni kuwa na urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia wala wa kujitawala.
-
Rais wa Syria aishukuru Iran kwa uungaji mkono wake
May 07, 2016 16:27Rais Bashar al Assad wa Syria ameishukuru serikai na taifa la Iran kwa uungaji mkono wake kwa wananchi na serikali ya nchi yake.
-
Russia yasema hakuna makubaliano iliyofikia na Marekani kuhusu hatima ya Rais wa Syria
Apr 01, 2016 04:24Russia imekanusha ripoti kuwa imefikia makubaliano na Marekani kuhusu hatima ya Rais Bashar al-Assad wa Syria, kama sehemu ya juhudi za kumaliza mgogoro katika nchi hiyo ya Kiarabu.