-
Pongezi za Waziri wa Ulinzi wa Iran kufuatia kukombolewa mji wa Mosul
Jul 09, 2017 23:28Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akiwapongeza Waziri wa Ulinzi na Kamanda wa harakati ya kujitolewa ya wananchi wa Iraq kwa jina la Hashdu Sha'abi kufuatia ushindi wa jeshi na vikosi hivyo vya wananchi katika kuukomboa kikamilifu mji wa Mosul.
-
Dehqan: Katu Iran haitasita kufanyia majaribio makombora
May 10, 2016 00:43Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema katu Jamhuri ya Kiislamu haitachoka kujiimarisha kiulinzi na kusisitiza kuwa haina nia au mpango wa kuacha kuyafanyia majaribio makombora yake.
-
Kerry atafakari kabla ya kutamka 'upuuzi' kuhusu Iran
Apr 09, 2016 11:37Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amemtaka Waziri wa Mambo ya Nje ya wa Marekani John Kerry kutafakari kabla ya kutamka maneneo ya “kipuuzi” kuhusu masuala ya kijeshi na kiulinzi ya Iran.