-
Wakazi asili wa Canada wakasirishwa na msimamo wa Papa Francis kuhusu maafa ya shule ya bweni ya Kamloops Indian
Jun 07, 2021 06:21Viongozi wa wakazi asili wa Canada na familia za wahanga wa shule za Kikatoliki nchini humo wameeleza kukasirishwa na matamshi na msimamo wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani kuhusiana na maafa ya kaburi la umati la watoto 215 lililogunduliwa nchini Canada.
-
UN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu kaburi la umati la watoto wa wakazi asilia wa Canada
Jun 05, 2021 02:49Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamezitaka Canada na Vatican kufanya uchunguzi kuhusu kaburi la umati lililogunduliwa likiwa na maiti 215 za watoto wa wakazi asilia katika jimbo la British Columbia huko Canada.
-
Vatican yashinikizwa kuomba radhi kwa kuhusika katika maafa ya wakazi asilia wa Canada
May 30, 2021 06:12Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, kufuatia kugunduliwa mabaki ya maiti za watoto 215 wa wakazi asilia wa Canada katika eneo la shule ya zamani ya bweni ya kanisa Katoliki huko magharibi mwa nchi hiyo, miito ya kulitaka kanisa hilo liombe radhi kutokana na maafa ya watoto hao imeongezeka zaidi.
-
Canada: Kundi la wafuasi wa Trump wenye misimamo ya kufurutu ada ni la kigaidi
Feb 04, 2021 04:11Canada imeliweka katika orodha yake ya makundi ya kigaidi kundi la mrengo wa kulia lenye misimamo ya kuchupa mipaka kwa jina la "Proud Boys" ambao ni wafuasi nambari moja wa Trump. Kundi hilo la wafuasi wa Trump wamewekwa na Canada katika orodha yake ya makundi ya kigaidi pamoja na makundi ya al Qaida na Daesh.
-
Canada yataka genge la Trump litambuliwe kuwa kundi la kigaidi
Jan 26, 2021 08:25Bunge la Canada limeitaka serikali ya nchi hiyo liliweke rasmi genge la wanamgambo waliojizatiti kwa silaha na wafuasi sugu wa aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump katika orodha ya magenge ya kigaidi kama vile al-Qaeda na ISIS (Daesh).
-
Raisi: Haki za binadamu zinatumiwa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi huru duniani
Nov 23, 2020 09:46Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema kuwa Canada inakiuka haki za binadamu na ni kimbilio la mafisadi na wahalifu. Ameongeza kuwa nchi mbaimbali duniani zimetambua kwamba haki za binadamu zimetiwa siasa kali na kugeuzwa wenzo wa kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.
-
Waziri Mkuu wa Canada apingana na Macron, asema Uislamu hauna mfungamano na ugaidi
Oct 30, 2020 05:24Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema kuwa gaidi aliyetekeleza hujuma ya kigaidi katika mji wa Nice nchini Ufaransa hawakilishi dini ya Uislamu wala Waislamu, na kwamba watu wote wanapasa kukiri ukweli huo.
-
Waislamu Canada wataka uchunguzi wa mauaji ya mwenzao nje ya msikiti Toronto
Sep 19, 2020 08:13Baraza la Kitaifa la Waislamu nchini Canada limetoa mwito wa kuchunguzwa mauaji ya Muislamu nje ya msikiti mmoja mjini Toronto, na kusisitiza kuwa mauaji hayo yamecochewa na chuki za kidini.
-
Washington Post: Saudia inaongozwa na mwanamfalme wa makundi ya mauaji
Aug 10, 2020 05:21Gazeti la Washington Post la Marekani limefanya ulinganisho baina ya mauaji yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo, Jamal Khashogi, na jaribio la mauaji ya kigaidi lililofanywa na watu wa karibu na mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman dhidi ya mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia, Saad al Jabri na kusema Saudi Arabia inaongozwa na mrithi wa ufalme anayesimamia makundi ya mauti.
-
Hata serikali ya Canada nayo yasikitishwa na ukandamizaji wa polisi nchini Marekani
May 30, 2020 07:48Waziri Mkuu wa Canada amesema kuwa, nchi yake inafuatilia kwa sura ya kuemewa na woga maandamano na machafuko pamoja na ubaguzi wa rangi na ukandamizaji mkubwa unaofanywa na polisi wa Marekani.