-
Iran, Russia na China zaanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Bahari ya Hindi
Dec 27, 2019 06:21Mazoezi ya kijeshi ya baharini yanayoshirikisha majeshi ya majini ya nchi tatu za Iran, Russia na China yameanza leo Ijumaa kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa kaulimbiu ya "Amani, Urafiki na Usalama Endelevu Chini ya Kivuli cha Ushirikiano na Umoja".
-
Maneva ya Iran, Russia na China; maneva ya pande tatu iliyo na ujumbe wa kimataifa
Dec 26, 2019 06:56Maneva ya kwanza ya baharini kati ya nchi tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China itafanyika hivi karibuni kaskazini mwa Bahari ya Hindi na ya Oman kwa lengo la kuimarisha usalama wa biashara ya kimataifa katika eneo hilo.
-
Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga
Dec 22, 2019 23:10Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na washirika wake umepelekea kurejea nyuma makundi ya kigaidi kwenye ngome zao za mwisho yaani katika mkoa wa Idlib.
-
Indhari ya China kwa hatua ya Marekani ya kuzigeuza anga za mbali kuwa uwanja wa vita
Dec 20, 2019 23:09Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa indhari kuhusu hatari ya anga za mbali kugeuzwa kuwa uwanja na medani mpya ya vita. Indhari na onyo hilo la China limetolewa kama jibu na radiamali kwa sheria ya ulinzi wa taifa iliyopitishwa na serikali ya Marekani.
-
China yatoa radiamali yake baada ya Marekani kuwatimua wanadiplomasia wake kutoka Washington
Dec 17, 2019 22:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China sambamba na kukosoa vikali hatua ya Marekani ya kuwatimua wanadiploamasia wake kutoka Washington, imeitaka White House kuangalia upya msimamo wake huo ili izuie kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili.
-
Kusitishwa vita vya kibiashara kati ya China na Marekani
Dec 15, 2019 08:24Hatua ya Marekani na China kutangaza kufikiwa makubaliano ya awali ya kibiashara, imesitisha vita vya kibiashara kati ya pande mbili.
-
Iran na China zafanya mazungumzo kuhusu JCPOA
Dec 01, 2019 03:51Iran na China zimekutana katika kikao cha mashauriano kuhusu namna ya kulinda vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
China: Siasa za Marekani katika uga wa kibiashara zinabainisha malengo yake ya kishetani
Nov 28, 2019 23:02Serikali ya China imesisitiza kwamba hatua mbovu za baadhi ya viongozi wa Marekani kuihusu Beijing, zinabainisha malengo yao ya kishetani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China akosoa hatua za upande mmoja za Marekani
Nov 25, 2019 04:07Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametoa matamshi makali na kukosoa hatua na misimamo ya upande mmoja ya Marekani dhidi ya China na kueleza kuwa Washington ni chanzo kikuu cha ukosefu wa amani duniani.
-
Meli za Kivita za Marekani Zaingia Bahari ya Kusini ya China, wakuu wa China watoa onyo kali
Nov 22, 2019 04:04Meli mbili za kivita za Marekani zimepita karibu na visiwa vinavyomilikiwa na China katika eneo linalozozaniwa la Bahari ya Kusini ya China, hatua ambayo imelalamikiwa vikali na wakuu wa China ambao wameitaja kuwa ya kichokozi.