-
Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump
May 30, 2018 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.
-
Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kufuatiliwa magaidi wa Daesh nje ya mipaka ya Iraq
May 22, 2018 23:01Waziri Mkuu wa Iraq amesisitizia ulazima wa kudhaminiwa usalama wa mipaka ya nchi hiyo na kufanyika operesheni dhidi ya wafuasi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nje ya mipaka ya Iraq.
-
Ndege za Marekani zashuhudiwa zikiwatumia silaha mabaki ya Daesh (ISIS) nchini Syria
May 19, 2018 09:46Kwa mara nyingine wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamepewa msaada wa silaha na askari wa Marekani na kuwawezesha kuingia eneo la wazi la kusini magharibi mwa jimbo la Deir ez-Zor nchini Syria.
-
Magaidi wa genge la Daesh na Jaishul-Hur washambuliana vikali kusini mwa Syria
May 14, 2018 22:11Magaidi wa makundi ya ukufurishaji ya Daesh (ISIS) na kundi la Jeishul-Hur (Jeshi huru), wameshambuliana vikali magharibi mwa mkoa wa Daraa, nchini Syria na kusababisha maafa makubwa kati yao.
-
Iran: Daesh ni silaha ya Marekani dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati
May 13, 2018 03:12Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja kundi la kigaidi na kitakfri la Daesh (ISIS) kama chombo cha Marekani na madola mengine ya kibeberu cha kuvuruga usalama katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Wairaqi wanaelekea vituo vya kupigia kura kuchagua bunge la nne tangu baada ya enzi za Saddam
May 11, 2018 23:46Uchaguzi wa nne wa bunge unafanyika nchini Iraq hii leo tangu ulipoangushwa utawala wa kidikteta wa Saddam mwaka 2003 na wa kwanza baada ya kusambaratishwa na kutokomezwa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) katika nchi hiyo.
-
Wanawake waliojiunga na kundi la kigaidi ISIS wafungwa jela Iran
May 06, 2018 23:07Wanawake 16 waliokuwa wamejiunga na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh wamehukumiwa vifungo jela nchini Iran.
-
Wapiganaji wa Hashdu sh-Sha'abi wawaangamiza magaidi wa Daesh
Apr 30, 2018 23:42Duru kutoka Iraq zimearifu kuwa wapiganaji wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi wamewaua magaidi kadhaa wa kundi la kitakfiri la Daesh katika mashambulizi waliyofanya katika eneo moja katika mpaka wa Iraq na Syria.
-
Kufichuliwa ushirikiano wa serikali ya Ufaransa na kundi la kigaidi la ISIS
Apr 25, 2018 22:12Hivi karibuni kulisambaa ripoti kuhusu ushirikiano baina ya serikali ya Ufaransa na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS (Daesh) ambapo mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Lafarge la kutengeneza seruji alisema: "Tuliitaarifu serikali ya Ufaransa kuhusu malipo ya fedha kwa magaidi wa ISIS".
-
Iraq: Magaidi wa Daesh (ISIS) hawatatia tena mguu ndani ya ardhi yetu
Apr 20, 2018 09:03Mshauri wa usalama wa taifa na mkuu wa harakati ya wananchi nchini Iraq amesema kuwa kinyume na zinvyoonesha baadhi ya propaganda, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), halitotia tena mguu nchini humo.