Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Gaidi wa Daesh aliyekuwa akichapa bakora na kunyonga watu Syria, anaswa nchini Uturuki akitoroka

    Gaidi wa Daesh aliyekuwa akichapa bakora na kunyonga watu Syria, anaswa nchini Uturuki akitoroka

    Apr 13, 2018 04:18

    Vyombo vya usalama nchini Uturuki vimetangaza kwamba, vimefanikiwa kumtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) aliyekuwa maarufu kwa kuchapa watu bakora na kutoa hukumu za kunyongwa idadi kubwa ya watu katika mji wa Raqqa nchini Syria.

  • Jeshi la Misri laua magaidi wanne Rasi ya Sinai

    Jeshi la Misri laua magaidi wanne Rasi ya Sinai

    Apr 09, 2018 02:38

    Jeshi la Misri linasema limewaua magaidi wane na kuwakamata wengine wengi katika oparesheni maalumu za kuwatimua magaidi walio katika eneo la Rasi ya Sinai.

  • Russia: Genge la Daesh (ISIS) linaunda ngome mpya nchini Afghanistan na Afrika

    Russia: Genge la Daesh (ISIS) linaunda ngome mpya nchini Afghanistan na Afrika

    Apr 05, 2018 07:29

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaanzisha kambi mpya katika maeneo mengine hususan Afghanistan, baada ya kupata pigo kali kutoka kwa muungano wa Iran na Russia wa kupambana na magaidi nchini Syria.

  • Boroujerdi: Mipango ya Marekani Mashariki ya Kati imeshindwa kwa hima ya Iran

    Boroujerdi: Mipango ya Marekani Mashariki ya Kati imeshindwa kwa hima ya Iran

    Mar 23, 2018 04:18

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa,mipango na njama za Marekani katika Mashariki ya Kati imeshindwa kwa hima na juhudi za Iran.

  • Makumi wauawa katika shambulizi la Daesh mjini Kabul, Afghanistan

    Makumi wauawa katika shambulizi la Daesh mjini Kabul, Afghanistan

    Mar 21, 2018 14:03

    Kwa akali watu 29 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililolenga mkusanyiko wa watu waliokuwa wakiadhimisha sikukuu ya Nowruz, kuanza mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia, katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Ripoti: Kwa akali watoto wa Kiyazidi 120 bado wanashikiliwa na magaidi wa Daesh huko Syria

    Ripoti: Kwa akali watoto wa Kiyazidi 120 bado wanashikiliwa na magaidi wa Daesh huko Syria

    Mar 20, 2018 04:32

    Fayhan al-Dakhil, mwakilishi wa kabila la Yazidi katika bunge la Iraq amesema kuwa, kwa akali watoto 120 walio na umri kati ya miaka 10-13, bado wanaendelea kushikiliwa na wanachama wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria.

  • Iran ina ushahidi kuhusu uhusiano wa Marekani na Daesh (ISIS)

    Iran ina ushahidi kuhusu uhusiano wa Marekani na Daesh (ISIS)

    Mar 04, 2018 08:00

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema vyombo vya usalama vya Iran vina ithibati kuhusu uhusiano kati ya Marekani na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Mmarekani ashitakiwa kwa kujaribu kujiunga na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)

    Mmarekani ashitakiwa kwa kujaribu kujiunga na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)

    Feb 28, 2018 07:41

    Mkazi mmoja wa jimbo la California nchini Marekani amepandishwa kizimbani baada ya kukamatwa akijaribu kusafiri nchini Libya kwenda kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Silaha za Israel zapatikana katika ngome za ISIS (Daesh) Syria

    Silaha za Israel zapatikana katika ngome za ISIS (Daesh) Syria

    Feb 28, 2018 01:32

    Vyombo vya habari nchini Syria vimerusha kanda ya video inayoonyesha silaha zilizotengenezewa Israel, katika maeneo yaliyokombolewa hivi karibuni kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), mkoani Dayr al-Zawr.

  • Iraq yakataa ombi la Riyadh la kuikabidhi mamia ya 'magaidi' wa Saudia

    Iraq yakataa ombi la Riyadh la kuikabidhi mamia ya 'magaidi' wa Saudia

    Feb 26, 2018 02:40

    Iraq imekataa ombi la Riyadh la kuikabidhi zaidi ya raia 400 wa Saudi Arabia waliohukumiwa vifungo mbalimbali baada ya kupatikana na hatia za kufanya vitendo vya ugaidi nchini Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS