-
Iran: Tutapambana vilivyo na magaidi wote wanaohatarisha usalama wetu
Nov 08, 2022 11:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), amewatembelea hospitalini maafisa wa polisi waliojeruhiwa katika machafuko ya hivi karibuni humu nchini na kusisisitiza kuwa Tehran itapambana vilivyo na magaidi wanaohatarisha usalama wa nchi.
-
DAESH (ISIS) wametumia asilimia 90 ya silaha za Marekani katika operesheni za kigaidi
Aug 15, 2022 10:37Mtaalamu mmoja wa masuala ya kiusalama amesema, asilimia 90 ya wahanga na waathirika wa ugaidi nchini Iraq hasa katika maeneo yaliyokombolewa wameuliwa kwa silaha za Marekani.
-
Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria
Aug 14, 2022 02:31Kitengo cha upashaji habari cha jeshi la Iraq kimetoa ripoti rasmi na kusema kuwa karibu wanachama 50 wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Dashe (ISIS) wamehamishiwa mkoani Nainawa (Nineveh) Iraq kutoka katika kambi ya al Hawl ya nchini Syria.
-
Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati huu wa Muharram
Aug 07, 2022 08:08Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi wanne wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul.
-
Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani
Jul 04, 2022 04:04Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limetokana na fikra za Kimarekani.
-
Kiongozi wa DAESH (ISIS) mwenye ushawishi mkubwa Burkina Faso aangamizwa na jeshi
Jun 01, 2022 07:41Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa limewaua magaidi kumi na wawili, akiwemo Tidiane Djbrilou Dicko, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) katika eneo la Sahara Kuu.
-
Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba
May 03, 2022 04:44Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, njama za adui za kutaka kuibua machafuko na ukosefu wa usalama katika miji ya Iraq katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani zimesambaratishwa na kufeli.
-
Al Kadhimi: Wapiganaji wa Daesh hawana chaguo isipokuwa kifo
Apr 23, 2022 11:29Waziri Mkuu wa Iraq amewambia magaidi wa Daesh (ISIS) kwamba wanasubiriwa na mashambulizi zaidi na mauaji ya kiongoi mpya wa kundi hilo.
-
Magaidi wanne wakufurishaji watiwa nguvuni mkoani al Anbar, Iraq
Mar 05, 2022 02:55Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia nguvuni magaidi wanne wakufurishaji wa genge la Daesh (ISIS) katika operesheni waliyofanya katika mkoa wa al Anbar wa magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mapinduzi ya Burkina Faso na mustakbali usiojulikana wa nchi hiyo
Jan 26, 2022 11:25Kundi la askari wa jeshi la Burkina Faso linalojiita Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration chini ya uongozi wa Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba Jumatatu wiki hii lilijitokeza katika tevisheni ya taifa ya nchi hiyo likitangaza kusitishwa Katiba, kuivunja Serikali na Bunge na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Roch Marc Christian Kabore. Wanajeshi hao walisema kuwa Burkina Faso sasa iko chini ya mamlaka yao.