-
Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq
Jan 22, 2022 08:47Rais wa Iraq almesisitiza kuwa shambulio la kigaidi katika mkoa wa Diyala ni kitendo cha chuki kinacholenga usalama wa Iraq.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2022 02:40Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria
Dec 13, 2021 12:33Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wa zamani wa jeshi wa Marekani, kwamba kitengo cha operesheni za siri cha jeshi la nchi hiyo kilikuwa kikiwaua mara kwa mara raia katika operesheni zilizotajwa kuwa ni dhidi ya Daesh nchini Syria.
-
Mwanadiplomasia: Lengo la Marekani kuasisi makundi ya kigaidi ni kudhamini usalama wa Israel
Nov 20, 2021 12:28Mwanadiplomasia wa zamani wa Iran amesema, lengo la Marekani la kuasisi makundi ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi hasa la DAESH (ISIS) ni kuvuruga uthabiti katika nchi zaWaislamu na kuzidhoofisha nchi zinazoupinga utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kudhamini usalama wa utawala huo.
-
Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria
Nov 14, 2021 11:12Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).
-
Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan
Nov 10, 2021 02:38Thomas West, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala Afghanistan amedai kuwa, Washington ina wasiwasi na suala la kuongezeka hujuma na mashambulio ya makundi yenye mfungamano na kundi la Daesh na uwepo wenye kuendelea wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda.
-
Kundi la kigaidi la DAESH laua raia wengine kadhaa wasio na ulinzi wa Iraq mkoani Diyala
Oct 27, 2021 13:01Duru za usalama za Iraq zimetangaza kuwa, magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) wameshambulio kijiji kimoja mkoani Diala na kuwaua na kuwajeruhi raia kadhaa wasio na ulinzi.
-
DAESH lakiri kuhusika na hujuma ya kuripua kinu cha umeme mjini Kabul, Afghanistan
Oct 23, 2021 07:48Kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) limekiri kuwa ndilo lililohusika na shambulio la kinu kikuu kinachozalisha umeme katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan na juhudi za kurejesha uthabiti nchini humo
Oct 22, 2021 13:06Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan kilifanyika siku ya Jumatano ya tarehe 20 Oktoba kwa uwenyekiti wa Russia katika mji mkuu huo wa nchi hiyo.
-
Onyo la Putin kuhusu kuhamishiwa ugaidi nchini Afghanistan
Oct 15, 2021 09:16Rais Vladimir Putin wa Russia amesema magaidi wanahamishwa kutoka Iraq na Syria na kupelekwa Afghanistan jambo ambalo amesisitiza kuwa linahatarisha usalama wa nchi za Umoja wa Sovieti ya zamani.