-
Magaidi wanne wa ISIS wauawa nchini Sudan
Oct 05, 2021 10:46Shirika la kijasusi la Sudan limetoa taarifa na kusema kuwa, wanachama wanne wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameuawa nchini humo.
-
Maajenti watano wa Intelijinsia Sudan wauawa katika mapigano na Daesh
Sep 29, 2021 08:03Idara ya Intelijinsia ya Sudan imetangaza kuwa maajenti wake watano wameuawa na mmoja kujeruhiwa katika shambulio la kuvizia lililoilenga seli ya kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la Jebra huko Khartoum mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Wanajeshi 20 wa Nigeria wauawa na Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi
Sep 26, 2021 08:03Kwa akali wanajeshi 20 wa Nigeria wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika baada ya kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Je, kuongezeka ugaidi wa Daesh nchini Iraq ni kujikarabati kundi hilo au ni njama mpya ya Marekani?
Sep 24, 2021 09:58Tangu mwanzo wa mwezi huu, magaidi wa Daesh wametekeleza operesheni 16 za ugaidi katika mikoa ya Iraq ya Kirkuk, Swalah ad-Deen na Diyala, ambapo watu zaidi ya 45 wameuawa na kujeruhiwa.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuenea ugaidi barani Afrika
Jul 25, 2021 08:26Katika ripoti yao mpya, wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema kuwa bara la Afrika limekuwa muhanga mkuu wa ugaidi katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2021 kutokana na kuenea makundi ya kigaidi kama Daesh na al-Qaida na makund mengine yaliyo chini ya udhibiti na ushawishi wa makundi hayo mawili.
-
Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa
Jul 24, 2021 11:55Afisa usalama wa Batalioni ya Hizbullah nchini Iraq ametangaza kuwa, iwapo wanajeshi wa Marekani hawataondoka nchini Iraq, makundi ya mapambano yataendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya wavamizi hao.
-
Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan
Jul 22, 2021 11:30Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.
-
"Chinjachinja" wa kundi la kigaidi la Daesh aangamizwa nchini Iraq
Jun 22, 2021 07:20Harakati ya wananchi wa Iraq ya al Hashdul Shaabi imetangaza kuwa imefanikiwa kumuangamiza mmoja kati ya viongozi hatari zaidi wa kundi la kigaidi la Daesh ambaye alikuwa maarufu kwa jina la "Chinjachinja" katika mkoa wa Diyala.
-
Viongozi wa Msumbiji waeleza wasiwasi wao kuhusiana na harakati za kundi la Daesh nchini humo
Apr 12, 2021 02:51Katika miaka ya hivi karibuni makundi ya kigaidi yameimarisha harakati zao katika nchi mbalimbali za Kiafrika. Genge la Daesh ni miongoni wa makundi hayo ya kigaidi ambayo yamezidisha mashambulizi na harakati zao katika nchi za Afrika.
-
Ushahidi mpya unaothibitisha uhusiano wa karibu wa Marekani na magaidi wa ISIS
Apr 09, 2021 11:06Marekani ina nafasi kubwa ya kuzuka na kupata nguvu magenge ya kigaidi hususan genge la kigaidi la Daesh (ISIS) hasa katika nchi za Kiislamu za Iraq na Syria. Sasa hivi ushahidi mpya umetolewa unaozidi kufichua uhusiano wa karibu sana baina ya Marekani na magaidi hao makatili.